DOKEZO Kuna mauaji yamefanyika Muleba - Kagera

DOKEZO Kuna mauaji yamefanyika Muleba - Kagera

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Vijana wanne wanaojihusisha na biashara ya mkaa wameuawa kwa kupigwa risasi mkoani Kagera.

Hii ni baada ya kupigwa na kuteswa wakiwa na wenzao 11 ambao ni majeruhi kwa sasa.

Vijana hao wanne wameshakabidhiwa kwa familia zao huku wakionywa kutoa taarifa kwa waandishi wa habari.

Polisi wanaendelea kuua raia 🙌
 
Vijana wanne wanaojihusiaha na biashara ya mkaa wameuawa kwa kupigwa risasi mkoani Kagera.

Hii ni baada ya kupigwa na kuteswa wakiwa na wenzao 11 ambao ni majeruhi kwa sasa.

Vijana hao wanne wameshakabidhiwa kwa familia zao huku wakionywa kutoa taarifa kwa waandishi wa habari.

Polisi wanaendelea kuua raia 🙌
Wakitoa tamko utasikia walikuwa wanapambana na Askari wenye silaha, hapo sasa utashangaa hivi kweli mkaa akapambane na mtu mwenye mashine mkononi?
 
Back
Top Bottom