muleba kagera

Muleba is one of the six districts of the Kagera Region of Tanzania. It is bordered to the north by Bukoba Urban and Bukoba Rural districts, to the south by Biharamulo District, to the east by Lake Victoria and to the west by Ngara and Karagwe districts. The district covers area of 3,518 square kilometres (1,358 sq mi).
According to the 2022 Tanzania National Census, the population of the Muleba District was 637,659, from 424,287 in 2002, and 284,137 in 1988 The population density is 150 inhabitants per square kilometre (390/sq mi). There are 166 villages, and 135,645 households in Muleba.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mauaji yamefanyika Muleba - Kagera

    Vijana wanne wanaojihusisha na biashara ya mkaa wameuawa kwa kupigwa risasi mkoani Kagera. Hii ni baada ya kupigwa na kuteswa wakiwa na wenzao 11 ambao ni majeruhi kwa sasa. Vijana hao wanne wameshakabidhiwa kwa familia zao huku wakionywa kutoa taarifa kwa waandishi wa habari. Polisi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Huu ni Mwaka wa pili sasa hatujapata vyeti vya kuhitimu Chuo cha Kilimo cha Igabiro (Kagera), kila tukienda wanatuzungusha

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Kagera Wilayani Muleba ni muhitimu wa Diploma in Animal Health and Production katika Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture kilichopo Muleba. Tangu tulipohitimu, huu unaenda Mwaka wa pili sasa, tulihitimu Februari 2023 lakini mpaka leo hatujapata vyeti...
Back
Top Bottom