Kuna Mapenzi hapa!?

Kuna Mapenzi hapa!?

wewe ni mbinafsi kwanini hutaki kumwoa unataka aishi na wewe kama mume na mke wakati hujamwoa? halafu aje huko mkoani inamaana aache kazi?? angalia pande mbili usiangalie upande wako tu, kwa mjibu wa maelezo yako wewe ni mwanaume wake wa kwanza kakupa Heshima mheshimu pia
 
UKIACHA MAAMUZ YAKO YAENDESHWE NA HUYO BINTI UTAPATA SHDA SANA

KUWA MWANAUME.

PGA KAZ, TAFUTA HELA. MPUUZE..

MAPENZ YAPO TU WANAWAKE WAMEJAA
Mwanamke hataki kuhama Dar na pia hataki kubanwa.. 🤣🤣🤣 Inshort mtoa mada ajipange tu.
 
Maisha ya ndoa ni sawa maisha yetu ya kila siku. Kuna kupata na kukosa, kuna kupanda na kushuka je anaweza kuzihimili Hali zote za maisha na hasa Kwenye kukosa Huwa ni kubaya zaidi huyo mwanamke Atakuwa anakupa Mchango upi pale utakapokuwa umeshuka au Ndio atakuwa anatoa sumni yake kwa masimango fanya maamuzi haraka tabia ni kama rangi ya ngozi haibadiliki hata ukiichubua ukweli utabaki palepale kwamba wewe ni mweusi. Kazi kwako.
Hahahah hii factor ndio naiangaliaga sana always. Yani mwanamke asiyejua kuwa ipo siku unaweza kuwa huna ni wakuogopwa sana.

Atakuua kwa mdomo na masimango tu, na wa hio tabia ya kukulinganisha na watu wengine hakawilii kwenda kutiwa nje huko na hao jamaa anaowataja taja siku ukifulia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom