haya ni maneno au herufi?
Kajibu kulingana na mwandiko wa mtoa mada.
haya ni maneno au herufi?
Hapo ttz n ww kwnn slpp hgg coz ndo hivyo bhn.
habar wana jf,..mimi ni mcchana umr kat ya miaka 23-25nlbahatka kupata kijana ambaye 2lpendana 2kawa kwny mahusiano takrban miaka miwl hatmaye mwaka jana dec 2lfunga pingu za maisha xx 2naish kam mume na mke,lkn iman yang imepotea kwake coz nlipgiwa cm na mwanamke m1 akiwa analia ananambia kw nn nmemfanyia ivo kumbe mumewang amezaa na huyo bint mtt ana miez 3 xx nlipoeka loud il mume wang ackie alikir kua ni kwl altokaga nje et mara 1 ila hana uhakika kam ni mwanae,..nishaurin jaman ni kwl itakua co mwanae?coz iman imepotea juu ya mume wang ukizngatia ndo kwnz 2namwez tang 2funge ndoa..
hebu mkapime ngoma kwanza..........inaonekana huyo mchepuko nae ana michepuko mingi snaaaalikir kua ni kwl altokaga nje et mara 1 ila hana uhakika kam ni mwanae,.
[color=redhabar wana jf,..mimi ni mcchana umr kat ya miaka 23-25nlbahatka[/color] kupata kijana ambaye 2lpendana 2kawa kwny mahusiano takrban miaka miwl hatmaye mwaka jana dec 2lfunga pingu za maisha xx 2naish kam mume na mke,lkn iman yang imepotea kwake coz nlipgiwa cm na mwanamke m1 akiwa analia ananambia kw nn nmemfanyia ivo kumbe mumewang amezaa na huyo bint mtt ana miez 3 xx nlipoeka loud il mume wang ackie alikir kua ni kwl altokaga nje et mara 1 ila hana uhakika kam ni mwanae,..nishaurin jaman ni kwl itakua co mwanae?coz iman imepotea juu ya mume wang ukizngatia ndo kwnz 2namwez tang 2funge ndoa..
Acha wakuibie tu na utaibiwa sana usipo acha utoto..
ulivyoambiwa kwenye shida na raha ulizani shida ni zipi
VUMILIA
mumeo ndo hivyo anapenda matunda lakini fruits salad
ujue kuandika vizur kama mwanamke aliye barikiwa ndoa! I mean kiutu uzima we si mtt wa secondary bhana.(unless upo form6 na ushaolewa )habar wana jf,..mimi ni mcchana umr kat ya miaka 23-25nlbahatka kupata kijana ambaye 2lpendana 2kawa kwny mahusiano takrban miaka miwl hatmaye mwaka jana dec 2lfunga pingu za maisha xx 2naish kam mume na mke,lkn iman yang imepotea kwake coz nlipgiwa cm na mwanamke m1 akiwa analia ananambia kw nn nmemfanyia ivo kumbe mumewang amezaa na huyo bint mtt ana miez 3 xx nlipoeka loud il mume wang ackie alikir kua ni kwl altokaga nje et mara 1 ila hana uhakika kam ni mwanae,..nishaurin jaman ni kwl itakua co mwanae?coz iman imepotea juu ya mume wang ukizngatia ndo kwnz 2namwez tang 2funge ndoa..
we si mmefunga pingu za maisha? We ndo mke wake so vumilia kwenye ndoa yako hayo mengne yatapita