Habari wana Jf.
Mimi ni msichana umri kati ya Miaka 23hadi25 nilibahatika kupata kijana ambaye tulipendana tukawa kwenye mahusiano takribani Miaka miwili hatimaye Mwaka jana December tulifunga Pingu za maisha sasa tunaishi kama Mume na Mke.
Lakini imani yangu imepotea kwake sababu nilipgiwa simu na mwanamke mmoja akiwa analia ananambia kuwa nini nmemfanyia ivo kumbe mume wangu amezaa na huyo binti mtoto ana Miezi mitatu.
Sasa nilipoeka simu loud ili mume wangu asikie alikiri kua ni kweli alitokaga nje eti mara moja ila hana uhakika kama ni mwanae,nishaurini jamani ni kweli itakua sababu mwanae?kwani imani imepotea juu ya mume wangu ukizingatia ndio kwanza tunamwezi tangu tufunge Ndoa.