Shukrani sana mamaaa la wamama.
Nimeachiwa bana na kamchepuko kalinifungia kakaninyang'anya na password kabisa.
Hahaha dahhaha mwanaume anakwambia
-Akuuu,
-niache huko mie
Muangalie vema. Hana haiba ya kike kweli? Kitabia yupoje?Hivi na hii vip; sawa mwaya!! maana kuna jamaa mmoja anapenda kuitumia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji5]Mtyu, mxieew, pyee ......
OyaaAnaendika "xaxa" mie huwa namuona halfpunga
Lazima nikutukaneMe nakereka na wale wanaotumia X badala ya S katika maneno yao.
Almasy TOTO LA KIMANYEMAAu unamuuliza mwanaume mwenzio mkoa anaotokea,yeye anakujibu me toto la kitanga, me toto la lindi,me toto la dom etc.