Kuna maneno wanaume wenzangu hatupaswi kutumia

Kuna maneno wanaume wenzangu hatupaswi kutumia

Hao ni wavulana na sio wanaume. Wakiwa wanaume watayaachamo
 
Haya maneno yametengenezwa na wanawake wa dar kama swaga zao bahati mbaya wale wenzangu na mie wanaovaa makoti ova saizi(wanaume wa mikoani) ndo wakakopi bila kujua tehtehteh
 
kuna rafiki angu ni mwanaume kamili tu but tukichat kwenye simu ananiita shosti..eg niambie shost..poa shost..Halafu kama nakumbuka ni wanaume lama wawili hivi waliniahangaza kwa hili...yani hata kwenye watsap anaweka picha ya mdada halfu status yake "happy birthday shost"
ni mtindo mpya jamani au?
 
Wakuu,

Mimi nakereka sana kidume mwenzangu anatumia maneno kama wangu, my, tena unakuta ana chat na mwanaume mwezie mengine mami mambo.

Unaanzaje kumsalimia mwanaume mwenzio mambo?
Kitu kingine kinaboa ni pale mwanaume anapoandika meseji akisema " Mmmmmmmmmmmmh!
 
kuna rafiki angu ni mwanaume kamili tu but tukichat kwenye simu ananiita shosti..eg niambie shost..poa shost..Halafu kama nakumbuka ni wanaume lama wawili hivi waliniahangaza kwa hili...yani hata kwenye watsap anaweka picha ya mdada halfu status yake "happy birthday shost"
ni mtindo mpya jamani au?
Huyo kama si shoga sijui.

Pia kuna Vepeee, Mie
 
Back
Top Bottom