Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Mara nyingi katika maisha mambo huenda mawili mawili ingawa sio lazima ila tujikite kwenye mambo mawili.....
Iwe ni maamuzi tunayofanya yanayotegemea pande mbili au vitu vinavyotekea viwili viwili...
Mfano;
Mwanamke ukitongozwa kuna mambo haya....mawili
Ukubali au ukatae,
Ukikataa haina shida,
Ukikubali kuna haya....mawili
Umpe jamaa papuchi au umnyime
Ukimnyima haina shida
Ukimpa kuna mambo haya....mawili
Ukutane na kibamia au gegedo la maana!
Karibuni tuendelee kuchat. Unaandika sentensi chache tu kwa mtiririko kama huo hapo juu kuhusu masuala mbali mbali iwe uchumi ,siasa, mapenzi na mahusiana etc au unaruhusiwa kuendeleza alipoishia mwenzio