Enock gabriel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2021
- 348
- 321
Wewe ni kauzu??Hakna changamoto yeyote, kawaida sana.
Binamu upo kwenye hili kundi la makauzuUkwuzu.....????
Kuna muda mwingine lazima uwe hapo ili mambo yaende....Binamu upo kwenye hili kundi la makauzu
Wewe ni kauzu kweli? Au wewe ni dume nini?Hakna changamoto yeyote, kawaida sana.
Jichanganye jomba kwenye misiba na kuona wagonjwa nk hapo kitaani kwako.Kuwa hivi unajiepusha na mengi mm salamu inatosha tujenge ujirani mwema ingawa watu wanakuona unaringa , dharau , hutaki kujichanganya wanakuteta mno
Kukuteta uhakika. Yaani ni lazima na haikwepeki.Kuwa hivi unajiepusha na mengi mm salamu inatosha tujenge ujirani mwema ingawa watu wanakuona unaringa , dharau , hutaki kujichanganya wanakuteta mno
Hivyo vya muhimu lazima niende.Jichanganye jomba kwenye misiba na kuona wagonjwa nk hapo kitaani kwako.
Acha kuwa msahaulifu aseeeWewe ni kauzu kweli? Au wewe ni dume nini?
Hahahah uchoyo huo.Wengine tunajifanya makauzu ili kukwepa vizinga vya wana,na mtaani kuombana mboga na majirani.
Umenena vyema. Mwazoni nikipata shida ya kuchukiwa karibia na kila mtu Ila baadae nikazoea hawanipi shida tena.Kuwa hivi unajiepusha na mengi mm salamu inatosha tujenge ujirani mwema ingawa watu wanakuona unaringa , dharau , hutaki kujichanganya wanakuteta mno