kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,656
Wapi maana Niko karibu kupigwa BANNakutag
Ila hiyo kata kidole kimoja weka...mbupu ni kubwa sana
Wapi maana Niko karibu kupigwa BANNakutag
Ila hiyo kata kidole kimoja weka...mbupu ni kubwa sana
Haujui? Sina kiswahili chake.Lack of sense of humour ni nini?
Kwa nini hutaki KABISA mazoea na watu ikiwemo watoto wadogo wasio na hatia?Maeneo ninayo ishi anayepata ujasiri wa kuniita au kugonga mlango wangu ni mtoto wa jirani mwenye miaka mitatu tu.
Ngoja nimvumilie afike miaka 7 ndiyo nimuambie nayeye asinizoee.
Mkuu elimu ipi hiyo? Unataka nawe kuogopwa kwa kuwa kauzu?Hili somo ndio nipo tuition sasa hivi nimejiandikisha karibuni, sitatega darasa hata siku moja, nitamuuliza mwalimu maswali yote yanayonitatiza ilimradi nipate uelewa wa kutosha na niweze kuitumia vizuri hii elimu.
Nafikiri madhara ya kuwa "kauzu" ni machache sana kulinganisha na faida zake.
[emoji1][emoji1]Jirani yangu wakwanza Nilimwambia kuanzia leo nimeamua sikuheshimu tu na simuheshimu kweli ( mama mtu mzima)
Jirani yangu wa pili huwa simsalimii nampita tu.Akaniuliza shida nini baba ? Nikamjibu huwa nakuona Kama jiwe tu.
Waliobaki wamenipa hiyo sifa ya ukauzu na maisha yanaendelea.