MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Mkuu nilitaka unipe elimu kidogo hivi shetani kuambwa na Nani??afya zenu si nzuri mna matatizo ya kishetani
Mkuu nilitaka unipe elimu kidogo hivi shetani kuambwa na Nani??afya zenu si nzuri mna matatizo ya kishetani
acheni uchochezi, shida ipo wapi? Badala ya kushukuru vibaka na wezi, wanga, mapaka na bundi hawawasumbui usiku kutokana na kelele hizo mnakua kutokwa povu kwa vitu minusHii kitu imekuwa shida tanzania nzima
Kwani bundi ni shetani ??acheni uchochezi, shida ipo wapi? Badala ya kushukuru vibaka na wezi, wanga, mapaka na bundi hawawasumbui usiku kutokana na kelele hizo mnakua kutokwa povu kwa vitu minus
shetani alikuwa malaika mkuu akiitwa lucifa, alikuwa kiongozi wa malaika huko mbinguni. Alipoasi akatupwa chini pamoja na malaika wachache waliomuunga mkono, ndio hao mapepo. Wana nguvu ila haizidi nguvu za Mungu. Unataka umuone shetani physically? utasubiri sana!Mkuu nilitaka unipe elimu kidogo hivi shetani kuambwa na Nani??
Mbona bar na pub zinaanzishwa kwenye Makazi ya watu na zina kelele piaHili la makanisa kuanzishwa kila siku kwenye makazi ya watu NI kansa, yaani saa sita usiku Sauti IPO juu Sana, kuna haja ya kupiga marufuku kelele za makanisa na misikiti
zile ni kele za shangwe wewe, Mungu huketi kwenye sifa, ibada ya sifa na kuabudu isikukereKelele zao ndiyo chanzo cha Mimi kukosa kusikia, yaani wanapiga kelele utafikiri mungu wanayemuomba NI kuziwi,
Kama mungu wao anajua mpaka ya rohoni mwao kwanini wapige kelele
Ngoja tukemee pepo. Pepo toka kwa jina la Yesu. Pepo la roho mwovu toka kwa jina la Yesu. Pepo la kuchagua kelele za walevi na wafanya Anasa toka kwa jina la Yesu.Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano
Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
sawa, bundi kama bundi ni ndege, ujue wanga humtumia ndege huyo kupeleka ujumbe kwa wanayetaka kumdhuru. Ulitaka utumiwe njiwa uone raha?Kwani bundi ni shetani ??
Bundi si ni jamii ya ndege,usiku ni mida yake au,kuhusu nyau usiku ni muda wa kujivinjari,wanga hao unawajua weweView attachment 3359556View attachment 3359557
No reform No electionsawa, bundi kama bundi ni ndege, ujue wanga humtumia ndege huyo kupeleka ujumbe kwa wanayetaka kumdhuru. Ulitaka utumiwe njiwa uone raha?
Ok nimekupata mkuu, sasa swali langu NI hili kwenye vitabu vya dini vinasema Mungu NI muweza wa yote na anajuzi wote, kiufupi vitabu vya dini vinasema kuwa mungu anajua kila kitu, yaani ananijua Mimi kabla hajaniumba, alikuwa nitaishi vipi hapa duniani, nitakufa lini na wapi, na nikifa nitaenda motoni au peponishetani alikuwa malaika mkuu akiitwa lucifa, alikuwa kiongozi wa malaika huko mbinguni. Alipoasi akatupwa chini pamoja na malaika wachache waliomuunga mkono, ndio hao mapepo. Wana nguvu ila haizidi nguvu za Mungu. Unataka umuone shetani physically? utasubiri sana!
Mimi natamani hizo bar, pub, makanisa misikiti, vispika vile wanavyotumia wafanyabiashara kuitia wateja vyote vipigwe marufukuMbona bar na pub zinaanzishwa kwenye Makazi ya watu na zina kelele pia
Ibada kwako wewe Mimi halinihusu, labda aniambie mungu wako NI kiziwi anahitaji kelele ili asikie, kama mungu anaona hadi rohoni mwako kwanini hizo kelele usipige Rohoni mwako na mungu wako akakuona???zile ni kele za shangwe wewe, Mungu huketi kwenye sifa, ibada ya sifa na kuabudu isikukere
hata mimi mnanipa NO REFORM, NO ELECTION!?No reform No election
Washa radioKelele zao ndiyo chanzo cha Mimi kukosa kusikia, yaani wanapiga kelele utafikiri mungu wanayemuomba NI kuziwi,
Kama mungu wao anajua mpaka ya rohoni mwao kwanini wapige kelele