Kuna makanisa mengine atulali usiku kwa kuomba

Kuna makanisa mengine atulali usiku kwa kuomba

Ok nimekupata mkuu, sasa swali langu NI hili kwenye vitabu vya dini vinasema Mungu NI muweza wa yote na anajuzi wote, kiufupi vitabu vya dini vinasema kuwa mungu anajua kila kitu, yaani ananijua Mimi kabla hajaniumba, alikuwa nitaishi vipi hapa duniani, nitakufa lini na wapi, na nikifa nitaenda motoni au peponi

Sasa napata kuelewa Kwa sifa hizo za mungu alishindwa vipi kujua malaika wake aliyemuumba atamuasi????

Au mungu alimuumba shetani makusudi ili apate kisingizio cha kutuchoma Moto????
Mungu ni mwema siku zote, ni mdemokrasia, si unaona watu wanafanya dhambi lakini hawaadhibu? siku ya hukumu yaja, kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake alivyoishi duniani. wenye dhambi watatupwa jehanamu waungue moto wa milele pamoja na shetani na wafuasi wake. umepewa akili ya kujua mema na mabaya na uchague mwenyewe utaishije
 
Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano
Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
Mkuu, kama hutaki kelele, kwanini unaishi karibu na majengo ya ibada?
Kwanza ungemshukuru Mungu kwamba kuna watu wanakesha usiku kuomba nchi yako iwe na amani. Nenda Gaza ujifunze kitu. Hakuna watu wanaoomba makanisani usiku. Lakini watu hawalali, wanakosa usingizi kwa sababu ya kelele za mabomu ya Israeli.
 
utetezi wa kijinga kabisa huu kupata kutolewa hapa Jeiefu
 
utetezi wa kijinga kabisa huu kupata kutolewa hapa Jeiefu
Tulia Braza Kede nikupe vifungu. Biblia inatuagiza kupaza sauti tunapomsifu Mungu
Isaya 12:6
Pazeni sauti na kuimba kwa furaha,... maana aliye mkuu miongoni mwenu ndiye Mungu, Mtakatifu wa Israeli.

Sasa lawama za nini kwa watu wanaotii agizo la Mungu.

Zaburi 100:1–2
Mpazieni Bwana kelele, dunia yote.

Zaburi 47:1–2
Enyi watu wote, pigeni makofi; mpazieni Mungu sauti ya shangwe.
Kwa kuwa Bwana Aliye juu ni wa kuogofya; Yeye ni Mfalme mkuu juu ya dunia yote

2 Nyakati 5:13–14
Ilikuwa kwamba wapiga baragumu na waimbaji walipokuwa kama mtu mmoja... walipopaza sauti zao pamoja na baragumu na matoazi... kuimba na kusifu Bwana, waliposema, 'Kwa kuwa yeye ni mwema, na fadhili zake ni za milele,' ndipo nyumba ya Bwana ikajaa wingu..

Hizo lawama ungewapa waliotoa kibali cha kujenga makanisa katika maeneo ya makazi.
 
Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano
Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani

Ila mkuu zingatia matumizi yako ya "h" dhidi ya "a".

amlali?!
awazidi?!

Huku kuna dogosha iliyo thamani kubwa mno ya bandiko lako.
 
Mungu ni mwema siku zote, ni mdemokrasia, si unaona watu wanafanya dhambi lakini hawaadhibu? siku ya hukumu yaja, kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake alivyoishi duniani. wenye dhambi watatupwa jehanamu waungue moto wa milele pamoja na shetani na wafuasi wake. umepewa akili ya kujua mema na mabaya na uchague mwenyewe utaishije
Kwanza kama mungu NI mwema kwanini aliumba shetani ili aje aturubuni Sisi binadamu dhaifu????

Kama mungu alijua kabla hajamuumba Adolf Hitler alijua kuwa ataua watu wengi duniani lakini mungu bado akamuumba Hitler, tukisema mungu alimuumba Hitler aje duniani afanye dhambi ili amchome Moto tunakosea???, hasa kumbuka mungu aliyaona matendo yote ya Hitler kabla hajamuumba lakini still akamuumba Hitler
 
Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano
Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
Unafikiri yanaomba bure angalia kenya na angalia taifa letu pamoja na sintofahamu za kisiasa lakini umezuia machafuko mengi usichukulie kawaida,wewe umekazana yaondolewe
 
Hujui kuwa wanakuokoa na mengi bila ww kujijua mkuu?
 
Kama nikelele na wale wanaotuamsha saa 10 alfajiri pamoja na bar, kuna mtu nyumbani karedio kadogo usiku utasikia kelele lakini ibadani maspeker yote yale anakoroma kabisa
 
Kuna misikiti mwingine KERO sana Aisee!! makelele alfajiri sauti kubwa mpka inaboa

Hawa wavaa vilemba kichwani km Osama bin laden
 
Tulia Braza Kede nikupe vifungu. Biblia inatuagiza kupaza sauti tunapomsifu Mungu
Isaya 12:6
Pazeni sauti na kuimba kwa furaha,... maana aliye mkuu miongoni mwenu ndiye Mungu, Mtakatifu wa Israeli.

Sasa lawama za nini kwa watu wanaotii agizo la Mungu.

Zaburi 100:1–2
Mpazieni Bwana kelele, dunia yote.

Zaburi 47:1–2
Enyi watu wote, pigeni makofi; mpazieni Mungu sauti ya shangwe.
Kwa kuwa Bwana Aliye juu ni wa kuogofya; Yeye ni Mfalme mkuu juu ya dunia yote

2 Nyakati 5:13–14
Ilikuwa kwamba wapiga baragumu na waimbaji walipokuwa kama mtu mmoja... walipopaza sauti zao pamoja na baragumu na matoazi... kuimba na kusifu Bwana, waliposema, 'Kwa kuwa yeye ni mwema, na fadhili zake ni za milele,' ndipo nyumba ya Bwana ikajaa wingu..

Hizo lawama ungewapa waliotoa kibali cha kujenga makanisa katika maeneo ya mak
With 15 -20 feet sized speakers? Why can't such worship places confine their religious beliefs etc within? Aspects like sound proofing remains paramount!
The Constitution states' freedom' of worship but should bring about encumbrances to neighbors!!

Noise Pollution in Worship Settings: A Growing Concern​

December 03, 2024

After a successful service, a group of church leaders gather and say, “We love to praise the Lord when we gather to worship. We welcome anyone and everyone who wish to join us, especially those who are musically inclined.” The neighbors, on the other hand, meet with the leaders and say, “I work long hours during the weekdays, up and out the door before 6 a.m. to fight the traffic during my long commute. The weekend is my only chance to sleep-in and the local church across the street plays loud music. I can’t sleep through the noise!”
The above scenario is not uncommon for Adventist leaders and the communities they worship in. Who would have ever thought that in our sincere efforts to worship, we could be contributors to the second-largest environmental cause of health problems? With air pollution being the first, noise pollution poses significant health risks to communities and churches are not immune to these concerns.

The Health Impact of Noise Pollution​

According to the National Institute on Deafness and Other Communication Disorders (NIDCD), sounds can be harmful when they are too loud, even for a brief period, or when they are both loud and long-lasting. These sounds can damage sensitive structures in the inner ear, leading to noise-induced hearing loss (NIHL).1 However, NIHL is preventable with the proper precautions.

Three key factors put individuals at risk for NIHL:
  1. How loud the noise is
  2. How close you are to the noise source
  3. How long you are exposed to the noise
Exposure to loud noise affects more than just hearing. Other potential health issues include:
  • Fatigue
  • Mood disturbances (irritability, crankiness)
  • Elevated blood pressure
  • Increased heart rate
  • Upset stomach
  • Sleep disturbances, even after the noise stops
  • Developmental issues in unborn babies

Understanding Safe and Dangerous Noise Levels​

The American Speech-Language-Hearing Association (ASHA) outlines safe and dangerous noise levels, measured in decibels (dBA). Sounds at 70-dBA or lower are considered safe for prolonged exposure, while sounds at 85-dBA or higher can cause hearing loss with long-term exposure. For example, exposure to 91-dBA for more than two hours is potentially harmful.

The following noise chart illustrates the average decibels of everyday sound levels you may be exposed to:2

dBA
(decibels)​

Description​

Sound Level Exposure​

30 dBAWhisper, quiet libraryFaint - Safe listening for any period
40 dBAQuiet roomModerate - Safe listening for any period
50 dBAModerate rainfallModerate - Safe listening for any period
60 dBATypical conversation, dishwasher, clothes dryerSafe for most individuals
70 dBAGroup conversation, vacuum cleaner, alarm clockSafe for short-term exposure
91 dBASubway, passing motorcycle, gas mowerVery loud - Dangerous for extended periods
94 dBAHair dryer, kitchen blender, food processorExtremely loud - Hearing protection advised
100 dBATractor, earphones at max volumeHazardous without ear protection
106 dBAGas leaf blower, snow blowerRisk of immediate hearing damage
112 dBAMP3 maximum output, rock concert, chainsawDangerously loud - Not safe without earplugs
120 dBAJet plane taking off, siren, pneumatic drillPainful steady noise - Immediate risk
130 dBAJackhammerPainful - Immediate risk to hearing
140 dBPFirearmsPainful impulse noise - Immediate risk
150 dBPFireworks at 3 feet, shotgunPainful impulse noise - Immediate risk

(Impulse noise measured in dB peak pressure, or dBP)​

Noise Concerns in Churches​

Local studies have shown that some church services may exceed recommended noise exposure limits. While there are no specific U.S. studies on noise exposure in places of worship, amplified music, large gatherings, and certain acoustic environments can contribute to high noise levels, particularly in modern or larger church facilities.

Organizations such as the Occupational Safety and Health Administration (OSHA)3, National Institute for Occupational Safety and Health (NIOSH), and the American Speech-Language-Hearing Association (ASHA) provide general guidelines for safe noise levels in workplaces, but these guidelines can also be applied in worship settings.

Addressing Noise Complaints​

Churches, especially those near residential areas, may face noise complaints from neighbors. Larger churches often implement soundproofing measures, such as noise barriers or acoustic panels, to mitigate noise. Spacious parking lots away from residential areas can also help limit community disturbances.

Smaller or older churches, especially those located in residential areas, may struggle with noise management. In some cases, insufficient ventilation may require windows and doors to remain open during services, allowing loud music and voices to escape into the surrounding area.

To avoid disturbing neighbors, it is important for churches to understand local noise ordinances, which may include:
  • Decibel limits: Municipalities often set specific noise limits, which can vary by time of day.
  • Prohibited times: Noise restrictions during certain hours, such as late at night or early in the morning, are common.
By adopting these practices, churches can foster an environment of vibrant worship while protecting the health and well-being of congregants, volunteers, and the surrounding community.
 
Back
Top Bottom