Ndo umasikini wa kujenga nyumba zinazoruhusu sauti kupita. Weka sound proof ili usikereke na sauti za wanaoabudu.Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano
Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
Kweli kabisa, makelele kwenye nyumba za ibada si sahihi, yaani wengine unakuta kabisa spika zimewekwa nnje zinatupigia kelele alfajiri wakati watu tupo kwenye "morning glory", sasa sijui wanahubiria wa nnje au wa ndani!!???Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano
Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
HatupoiSasa si umeleta bandiko leo ndo mpaka watanena kwa lugha!..😂
Ni mwendo wakuita malaika tu yani fireeeeeeeeeeeeeeee....🤣Hatupoi
si ulale? Watu wanaomba halafu we unakosa usingizi, afya yako si nzuriHili la makanisa kuanzishwa kila siku kwenye makazi ya watu NI kansa, yaani saa sita usiku Sauti IPO juu Sana, kuna haja ya kupiga marufuku kelele za makanisa na misikiti


afya zenu si nzuri mna matatizo ya kishetaniKweli kabisa, makelele kwenye nyumba za ibada si sahihi, yaani wengine unakuta kabisa spika zimewekwa nnje zinatupigia kelele alfajiri wakati watu tupo kwenye "morning glory", sasa sijui wanahubiria wa nnje au wa ndani!!???
Hanna haja kutumia loudspeaker kwa idadi ndogo ya watu.Mungu in Mungu wa wote wala siyo kiziwi hata ukinong'ona anasikiaHivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano
Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
Kelele zao ndiyo chanzo cha Mimi kukosa kusikia, yaani wanapiga kelele utafikiri mungu wanayemuomba NI kuziwi,si ulale? Watu wanaomba halafu we unakosa usingizi, afya yako si nzuri