Kuna magari ya serikali yamepotea

Kuna magari ya serikali yamepotea

Hii nchi inabidi tufe wote tupigwe nyuklia ikiwemo mimi. Wangapi wako na mimi? Ukikataa ndiyo ubinafsi wenyewe. Mabadiliko yanaanza na wewe na mimi..tukubali tufe wote kije kizazi kipya.
Una uhakika hicho kizazi kipya kitakuwa tofauti 😄 nuke utapigwa mwenyewe aisee dunia tamu hiii
Hayo magari yalikuwa hayana gps 😁
 
Hakuna gari lililopotea shule hamtaki ila mnataka kujadili mambo makubwaaa, hayakununuliwa kwa wakati na ndio maana Mama akauliza GPSA iangaliwe kama inaendana na wakati.
 
Jomo Kenyatta,alimwambia Nyerere Mie naongoza walio lala ipo siku wataamka wataniuliza.Ila mwenzangu wewe unaongoz maiti.

Kuongoza Tanzania ni raha sana,maana Wananchi ni maiti.

By the way hakuna magari yaliyopotea itakuwa nyaraka tu hazikuwasilishwa kwa wakaguzi wa CAG kwa wakati.Hivy,wakaandika magari hayaonekani.
 
.......shida sio ripoti kusomwa, shida ni wahusika kutochukuliwa hatua zozote kali baada ya ripoti, hata mwakani ripoti itatoka na kutakuwa na hasara zingine mpya afu tutaishia kulalamika hivihivi tu then siku zinasonga, sijui labda ishu inahusisha influencial figures of the nations, kwa hiyo pingine sio rahisi kuwafilisi, kuwakamata hata kuwashitaki kama tunvyodhani .......
Na kweli acha waendelee kuiba,naunga mkono hoja
 
Jomo Kenyatta,alimwambia Nyerere Mie naongoza walio lala ipo siku wataamka wataniuliza.Ila mwenzangu wewe unaongoz maiti.

Kuongoza Tanzania ni raha sana,maana Wananchi ni maiti.

By the way hakuna magari yaliyopotea itakuwa nyaraka tu hazikuwasilishwa kwa wakaguzi wa CAG kwa wakati.Hivy,wakaandika magari hayaonekani.
Unaona mlivyo na dharau baada ya kuvimbiwa na asali,umeamua ututukane kabisa,aisee[emoji848][emoji24]
 
Wamechunguza kwenye sekta ya michepuko? Yanaweza kuwa yamepokelewa ila kwasababu sekta ya michepuko sio rasmi na CAG hana mamlaka huko basi wakaguzi hawakuenda huko na kutizama kama yamepokelewa au lah!
 
Back
Top Bottom