Kuna magari ya serikali yamepotea

Kuna magari ya serikali yamepotea

.......shida sio ripoti kusomwa, shida ni wahusika kutochukuliwa hatua zozote kali baada ya ripoti, hata mwakani ripoti itatoka na kutakuwa na hasara zingine mpya afu tutaishia kulalamika hivihivi tu then siku zinasonga, sijui labda ishu inahusisha influencial figures of the nations, kwa hiyo pingine sio rahisi kuwafilisi, kuwakamata hata kuwashitaki kama tunvyodhani .......
Hivi ile pesa ya plea bargain iliyotoroshewa china ndio imeachwa tu iende hivi hivi
Maana sioni tukijuzwa chochote kuzihusu wala hatuambiwi ni nani aliipeleka huko na kwa kusudi lipi.
Tanzania nchi ya ajabu sana.
 
Duh! Wamepita na VXR V8 za kutosha[emoji16][emoji16][emoji2960] au ndio ile tulio mpa nanihii [emoji1768][emoji2963] zawadi
 
Back
Top Bottom