Kuna maan gani??

Kuna maan gani??

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468
Nauliza hivi kama serikali ilipiga marufuku Hiace Mjini(Vipanya) kwanini ikaruhusu bajaji??
Nani anajua adha ya bajaji?
Nani anajua adha ya Pikipiki bodaboda haswa??
India mpaka leo wanjutia kwanini waliruhusu usafiri wa abiria hasa bajaji au (RICKSHAW)Kwajinsi zinavyo watesa maana vitu vingine tunaona kama msaada lakini ni mateso hapo baadae.
Nini kifanyike kupunguza hii kero??
 
Kwani Bajaj zina mateso gani? Tueleze ili tuweze kuchangia maana unachozungumza inaonekana hata wewe mwenyewe hukuielewi
 
Pikipiki ukiondoa mambo ya ajali zinarahisisha sana usafiri broda, hasa kwa miji yenye foleni kama Dar, na maeneo geographically-unreachable kama Kimara&Mbezi!
Lakn pia vipanya vinaboa kwa kukatisha route!
 
Vile vile bajaj haiitaji kuwasha AC ni full kipupwe hasa Jijini Dar pahali penye joto kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom