Kuna maamuzi mengine sio ya kuyafanya kamwe.

Hadithi nyingine bwana! siku nyingine uwe unajitahidi kuweka uhalisia kidogo kwenye story zako. Huyo mtu amekaa jela miaka 27 na kabla ya hapo aliua watu 19! Hivi kabla ya kwenda jela alikuwa na umri gani na baada ya miaka 27 ana umri gani?
 
Jamaa ameshindwa kutetea chake kisiliwe kweli???

Huyu jamaa hafai kuwa muwe.
 
Haya bwana mambo ya dunia hayo vituko na vimbanga ndo sehemu ya maisha.
 
Hadithi nyingine bwana! siku nyingine uwe unajitahidi kuweka uhalisia kidogo kwenye story zako. Huyo mtu amekaa jela miaka 27 na kabla ya hapo aliua watu 19! Hivi kabla ya kwenda jela alikuwa na umri gani na baada ya miaka 27 ana umri gani?

relax....
 
Back
Top Bottom