π₯πAfu kuna Aslayππ
Fikiria wahindi walioko Tanzania utajua wapo wengi kibongo bongo wahindi ni kama wasukuma wapo kila sehemu.india ina watu zaidi ya 1b
kwahiyo usishangae sana
india ina watu zaidi ya 1b
kwahiyo usishangae sana
π€£π€£π€£Sina ustar wowote ndgu yanguAfu kuna Vishu Mtata
ππππππ
Mbona kuna wabongo wakisikia mondi katua Airport wanaenda kumpokea wengine mpaka kusukuma gari πWahindi wengi na wenyewe hua ni washamba washamba kama waha au wasukuma na wengine njaa kali afadhali hata sisi wa ugali maharage dagaa za mwanza
Maajabu ya Wahindi hayaishii hapa. Hata hivyo sioni kama yeye ndiye wa kwanza Michael Jackson alikuwa pia anakumbana na hii hali. Yani sijawahi kuelewa unampendaje mtu kiasi kwamba unaacha shughuli zake unaenda kusimama ili umwone tu akupungie mkono kwakweli watu wana mahaba.india ina watu zaidi ya 1b
kwahiyo usishangae sana
Siwezi kufanya upumbavu kama huo hata siku mojaMbona kuna wabongo wakisikia mondi katua Airport wanaenda kumpokea wengine mpaka kusukuma gari π
Vp wee huwezi kufanya hivyo
Ova
Hahaha nakuaminia kamandaSiwezi kufanya upumbavu kama huo hata siku moja
Duh halafu kuna akina TID