Kuna kupona kweli hapa?

Kuna kupona kweli hapa?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
45752d414d82cbcc931a811ae4f2b3b5.jpg
kisu cha mbavuni live na kipigo juu

b69634e8421aac7ad56d2b798f5f2307.jpg
jamaa keshaikoki
 
Unajua kutofautisha kati ya igizo na uhalisia?

Hapa siyo kisumu? Na uone jinsi mambo ya shetani yaliyvo. Jamaa anafanya mbele ya halaiki na watoto wakiangalia kwa shauku. Hapa wanaua dhamiri za hawa watoto katika age hii. Wanategemea waje kuw abinadamu wa aina gani? Jamaa anachukua mkanda kana kwamba ni kitu cha starehe!.

Mungu tusaidie.
 
Hii lazima ilikuwa Liberia enzi ya Taylor!!! Vita ya wenyewe kwa wenyewe mbaya sana; ccm tuepusheni na hili ball huko Zenj!!!
 
bora vita ya nchi kwa nchi manake wanajeshi ndo watakomoana ila hii ya wajaluo na wakamba ni noma!.....
 
Back
Top Bottom