Kuna kupona kweli hapa?

Kuna kupona kweli hapa?

liberiaa.jpg
hii ni kweli bro?? Mungu atunusuru maana hapo hakuna aliyepona
 
Hiii sio pemba kweli....???


Si Tanzania Bara si Visiwani hatujafikia huku....Kwanza tukisikia mlio wa Risasi tuu tunakimbia na kupiga kelele sembuse hiyo kumsimamia kwa kumuangalia mtu anamuua mwenzake..Sisi bado saana Na Mungu tunamuomba Isifikie huku.
 
Back
Top Bottom