PostGE2025 Kuna kundi ndani ya Serikali linamuharibia Samia ili achukiwe na wananchi

PostGE2025 Kuna kundi ndani ya Serikali linamuharibia Samia ili achukiwe na wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sasa atakemea vipi kama kuna watu wanamuamomisha kwamba hii ndiyo njia nzuri au mpango mzuri wa kuwanyamazisha wapinzani wake,tuseme kwa upande mwingine Rais wetu ni mateka hata kama ameingia madarakani kiujanja
We mjinga uchawa wako peleka huko yaani umeanzisha Uzi Ili kumtetea huyo muuaji shenzi kabisaeti mateka unajua maana ya mateka mjinga wewe
 
Pumbavu unamtetea huyo bibi ngoja yakukute mjinga chawa mkubwa wewe
Niko tofauti kabisa na huyu mama tena siku ya majanga yatakapomkuta kwa Watanzania wengi itakuwa sherehe pamoja na mimi,lakini ukweli uliopo ndiyo huo,hata ndani ya serikali wengi tu hawamkubali ndiyo maana siku zake ni fupi sana madaralani
 
We mjinga huyo sio mama Yako ni mama wa abdul acha kujipendekeza atakutumia wasiojulikana wakulawiti acha kumshobokea
 
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu

Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi

Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?

Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
Wewe ni yule unaeangalia kwa jicho la tako
 
Kwakuwa anabeba dhamana hana namna ya kukwepa kuwajibika.Alitakiwa kuwa na namna na njia za kukabiliana na yote haya,wameua bunge wakifikiri ndiyo manufaa yao,wameteka mahakama wakiona watatawala kwa raha na kumfunga yeyote atakaye wahoji,wamelitumia jeshi la police kuwaumiza,kuwaonea na kuwanyanyasa wanaohoji mustakabali wa taifa hili wakidhani ccm itakuwa na nguvu.Wameiba rasilimali za taifa tena wakilindwa na wote waliotajwa hapo juu.Je leo iweje kijaribu kutumia udimi na utengano wa kuhubiriwa na waliohujumu mifumo yote ya taifa huku lawama wakipewa walioonya juu ya mienendo iliyoonekana kuhatarisha Amani,Haki na utengamano wa taifa hili?
 
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu

Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi

Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?

Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
Ni ujinga wake tu kwa nini akubali ushauri wa kipumbavu? Nakumbuka kesi ya ugaidi wa mchongo ya Mbowe ilitengenezwa wakati wa Magufuli lakini Magufuli alipopelekewa lile jalada aliwatukana walioitengeneza tena matusi ya nguoni kwani ilikuwa kesi ya kijinga ambayo isingeweza kumtia hatiani Mbowe kama walivyotaka, faili likawawekwa kabatini alipoingia huyu kilaza wakampelekea alivyolisoma akawaambia wampeleke Mbowe mahakamani na wote tunajua kesi ile ilivyomdhalilisha yeye mwenyewe na waendesha mashitaka hadi wakaichomoa kwa aibu. Huyu akili kisoda ndiyo maana kila upuuzi anaoambiwa anaumeza hivyo hivyo.
 
Kwa kuhitimisha niseme kwamba yawezeka huyu mama anapitia kipindi kigumu kuliko mtu yeyote yule,na yanayokuja ni magumu zaidi sababu si maamuzi yake,mengi yanafanywa kwa ajili ya kumkomoa ili aendelee kuonekana mbaya hata hiyo tarehe 9 watakufa watu wengi tu,siyo kwamba nawatisha huo ndiyo ukweli wenyewe,
Kwa Lugha nyepesi ni sawa na mwanaume ambaye ameitelekeza familia yake huku yuko ndani ya starehe na mwanamke mwingine,nyumbani watoto wanalala njaa,wamefukuzwa shule,ila maauzi yote yanatoka kwa kimada hakuna kuludi kwako,jamii lazima itamlaumu mwanaume,kiuharisia mwanaume naye anaumia kwa inayopitia famiria yake kama watu wengine,ila furaha iko kwa kimada na mwanaume kashikiliwa hana cha kufanya
 
Mmmh kj eti....?
Au basi
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu

Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi

Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?

Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
 
Ndugu yangu nakujua kwa misiamo yako na huwa napenda michango yako,hebu jiulize yule mama aliyewarudisha ndugu zetu kutoka ukimbizini,wakampa heshima zote aliyekubaliwa mpaka na wapinzani leo hii anatoa amri ya kuuwa watu,au angetumia nguvu kubwa kiasi hiki kuingia madarakani wakati kila mtu alikuwa anamkubali,
nani kambadilisha amekuwa hivi mpaka kupoteza nuru yake,amekuwa mnyonge,mwenye hofu wasiwasi,jibu lake ni dogo tu ndiyo wale waliokuwa hawapendi umaarufu wake wa mwanzo,walianza kumkokota taratibu leo hii yupo katikati ya kina cha bahari na kuogelea anategemea migongo ya watu ili asaidiwe,atakuwa na furahaa,inatisha kwelikweli
Kilichomponza ni tamaa yake tu ya madaraka na kujilimbikizia mali. Kimsingi baada ya mtangulizi wake kufa, alitakiwa kuweka tu mazingira huru ndani ya chama chake na pia nchi kwa ajili ya uchaguzi huru wa mwaka huu wa 2025! Tamaa yake ndiyo imeifikisha nchi hapa ilipo.
 
Sasa atakemea vipi kama kuna watu wanamuamomisha kwamba hii ndiyo njia nzuri au mpango mzuri wa kuwanyamazisha wapinzani wake,tuseme kwa upande mwingine Rais wetu ni mateka hata kama ameingia madarakani kiujanja
Kama ameaminishwa naye akakubali kuamini hatuwezi kumtenga na upuuzi huo. .....wakristo hutatiza aliyeamini......
 
Alipoingia 2021 alipendwa na kila mtu, alionekana ni mtu mwema, mpenda democrasia, mpaka wapinzani waliokimbilia nje ya nchi wakarudi nchini, wakamtembelea mpaka ikulu, nakumbuka Tundu Lisu alipopigwa lisasi ni yeye pekee katika serikali ya Magufuli ndiye aliyeweza kwenda kumuona Lisu hospital, Nairobi, Alipoingia madarakani alianza na sera za kuifungua nchi, akaanza na Royal tour, Mambo yalianza kubadilika pale tu Mwanaye, Abdul alipoingia tamaa ya utajiri wa haraka, kutamani kuwa na utajiri kama wa Akina Elon Musk, kutaka kuwa na utajiri kma wa Akina Mark Zuckerberg, wakati hana influence hiyo wakati hana akili hiyo wakati hana uwezo huo, alianza na nini? Kutamani kumiliki ma real estate katika nchi za kiarabu, akaanza kwa kuuza bandari zote za Tanganyika, lakini kelele zilipozidi akaona aanze ku control vyombo vya ulinzi na usalama, mama mtu akaruhusu hilo, kuanzia hapo huyu mama ndipo alipoharibikiwa. Kuna kitu ambacho hata JK mwenyewe anashindwa kuelewa kwamba huyu bwana Abdul kwa nguvu aliyonayo kwa sasa hivi na jinsi siasa za Tanzania zinavyoenda, na jinsi siku zinavyosogea hata yeye na familia yake hawatakuwa salama mikononi mwa Abdul, maana kutakuwa na Government within a government, ni swala la muda tu kusikia Mchengerwa au Wanu anautaka urais and it will be too late kuikomboa nchi.
 
Ccm wakikushauri ukashupaza shingo wanatafuta namna ya kukuua ,kwanza wanakufanya unuke ubaya na uchukiwe Ili Mungu akiamua ugomvi watu wasiwe na hisia na wewe!

Hadi sasa wameshafanikiwa Kwa asilimia 90!

Ndio Maana ya check and balance!!

Halafu mtu wao kajitenga nae kama hayupo vile,kajikalia kimya kama zombie kumbe anajua mchezo wote!
This makes sense!.
 
Nyakati ni tofauti sana. Wakti wake bado kulikuwepo na viongozi waliomtangulia, na CCM kama chama kilikuwa bado hakijavurugika sana, kwa hiyo taratibu zilikuwa bado zinakubalika kufanya kazi.
Kwa mfano: Kikwete asingeweza kujipitisha kuwa mgombea wa chama kwa kutumia njia aliyotumia Samia, ambayo iliungwa mkono na huyo huyo Kikwete.

Kumtetea Samia kwa njia nyingine yoyote, hata hiyo ya jinsia yake haiwezekani kabisa.
Huyu ni mwanamke mwenye tabia mbovu kabisa, aliyejaa kiburi na mwingi wa uovu. Alichojaaliwa ni kuwa fundi wa kuigiza upole wakati inapotakiwa aonyeshe hivyo, hasa akiwa chini ya kiongozi aliye juu yake. Uigizaji huo ndio uliomwezesha kufikia hapo alipo sasa; mahali ambapo hana mtu wa kumfunga gavana ya tabia zake mbovu na uovu wake.
Kumbe alificha kucha
Basi amefaulu
 
Mwanzo niliamini hivyo, but so far nimekuja kuona it is all her doing
 
Mwanzo niliamini hivyo, but so far nimekuja kuona it is all her doing
Ukweli ndiyo huo,mama ataondoka na ni kweli hakuna anayempenda lakini utaona baada ya kuondoka ataingia nani?
Hujiulizi makamu wa Rais yuko kimya kuna nini nyuma yake?
Huu mpango umesukwa kitalam sana na yuko mwishoni,tuseme ingekuwa mchezo wa ngumu mama kwake ni raundi ya nne lakini kichakun'gutwa balaa hatujui kama atafikisha raundi ya 12 na ukumbi mzima wanataka apigwe,aliyebaki anajipa moyo mwenyewe labda atafikisha 2030
 
Kumbe alificha kucha
Basi amefaulu
Utakuwa na maana potofu sana ya hilo neno "kufaulu", kama hali aliyomo Samia Suluhu Hassan sasa hivi unaiona wewe kuwa ni "kufaulu"!

Kuua na kuumiza watu kiasi hicho unakuita "kufaulu"?
 
Utakuwa na maana potofu sana ya hilo neno "kufaulu", kama hali aliyomo Samia Suluhu Hassan sasa hivi unaiona wewe kuwa ni "kufaulu"!

Kuua na kuumiza watu kiasi hicho unakuita "kufaulu"?
Yani alifaulu kuficha hiyo unayosema ni tabia yake ya asili bila watu kumstukia mapema Hadi pale alipoyapata madaraka
 
Back
Top Bottom