binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,903
- 47,134
Mnavyomkwepesha lawama as if she’s underage, Last time i checked she was above the age of consent.
Ndugu yangu hujawahi kuona mtu unachochewa ukaseme hivi,kumbe wanaokwambia lengo lao uzidi kujialibia,omba Mungu akupe maisha marefu mwisho wake utauona
Inashangaza kwa mtu kuibuka wakati huu na kudai Samia anashauriwa vibaya! Lakini ndio hivyo tena, watu tumeumbwa tofauti tofauti sana. Hata hivyo, ni jambo la kushangaza dunia, iwapo kuna mtu anaweza kuibuka na kuona rangi nyeupe ambayo binaadam wote wanaiona ni nyeupe; halafu yeye anakomaa kabisa kuwa hiyo rangi ni nyeusi!Hakuna washauri wala nini. Hata mimi mwanzoni niliamini hivyo. Ila kwa sasa nimegundua ana sifa ya kutojiamini! Ana uwezo mdogo kwa nafasi anayolazimisha kuikalia! Na pia ana roho mbaya.
Ndugu yangu sisi watu wa ulimwengu wa kiroho kazi yetu ni kufikisha ujumbe kama ulivyo,iwe ujumbe utakuwa mbaya au mzuri sana na kusema nimekwambia mwisho wake mama ila wewe unajua alipotoka na alipo sasa,nikauliza hivi Samia ndiye yule mpole aliyependwa na wapinzani mpaka wakamkaribisha kwenye shughuri zao? Nini kilichomfanya mpaka kukataliwa na watu akabaki kutumia nguvu kubwa za kuuwa watu ili apendwe,nazani mpaka hapo unaweza kupata jibuMtu unakuwa na "macho matatu", halafu huoni chochote, uko kwenye giza tororo kabisa!
Hivi huwa unaishi kwenye pango fulani; uliposikia Samia anahujumiwa harakaharaka nawe ukajitokeza humu?
Humujui Samia wewe tokea akae kwenye madaraka miaka minne?
Sasa unasemaje wewe, unataka akakutuwe wewe umsaidie asihujumiwe?
Au umepewa hii kazi mpya hapa JF kurudia yaleyale yaliyokwisha semwa juu ya hujuma; kana kwamba yeye mwenyewe mhusika kichwani ni sufuri kabisa? Mtu wa aina hiyo Tanzania inamtaka wa nini?
shangaa na wewe..Mtu unakuwa na "macho matatu", halafu huoni chochote, uko kwenye giza tororo kabisa!
Hivi huwa unaishi kwenye pango fulani; uliposikia Samia anahujumiwa harakaharaka nawe ukajitokeza humu?
Humujui Samia wewe tokea akae kwenye madaraka miaka minne?
Sasa unasemaje wewe, unataka akakutuwe wewe umsaidie asihujumiwe?
Au umepewa hii kazi mpya hapa JF kurudia yaleyale yaliyokwisha semwa juu ya hujuma; kana kwamba yeye mwenyewe mhusika kichwani ni sufuri kabisa? Mtu wa aina hiyo Tanzania inamtaka wa nini?
Mkuu lile kumbato la furaha la Samia kumkumbatia Kikwete baada ya Samia kumaliza kufanya kiapo cha urais linaonyesha Samia kunogewa na utamu wa madaraka na hakuamini kama lile zowezi lingefanikiwa.Unaweza usiyajue haya kwa ulimwengu wa kawaida niseme Mama analindwa lakini hana amani ndani ya moyo wake,ni hawa waliomtoa kwenye maridhiano alipokuwa akipendwa na kila mtu leo hii amebaki kuchukiwa unazani hii ni akili yake?atakuja stuka too late watu wameshachukua inchi,siasa zinatisha sana mimi mwenyewe nimeogopa,lakini ndiyo hivyo ulimwengu wa kiroho huwa hauongopi,na naami its to late hata kujinasua hawezi tena yuko katikati ya kina cha maji,anasubiri chombo kimfikishe kitakapochagua chenyewe kutua
Urais ni tasisi kubwa sana,huyu ni mwanamke tofauti na Magufuri naamini mambo mengi anategemea kufanyiwa madhara yake ndiyo hayo wakati kuna kundi linafurahia aharibikiwe yeye anabaki kuwa mnyonge wa nafsi anapokumbuka anaiachia inchi doa ambalo halitafutika milele kwa mambo yaliyoshauliwa na wengine na lawama zinamludia mwenyeweSasa hapo mjinga ni nani? Wachochezi wanakuchochea au wewe unaokubali ushauri wao. Kwanini usiwabadilishe?
Samia akiambiwa aue watoto wake Abdul, Wanu, Mwanaenzi, Mchengerwa atakubali kisa umepewa ushauri?
Wanaomuharibia bila kujua ni masheikh wake na kikwete. Wewe hukuona siku ya UAPISHO wake walivyokumbatiana na Kikwete; ni kana kwamba aisee kumbe ulisema kweli-tumetoboa!NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu
Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi
Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?
Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
Asante sana kama yupo hai Mungu amlindeNImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa
Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa amri ya hili kundi siyo mama,ikiwa pamoja na kumfunga Tundu Lissu
Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge kwa yanayoendelea na wao ndiyo waliompa hata hotuba ili aendelee kuharibu zaidi
Ndugu zangu hii vita ni kubwa sana hata Jakaya mwenye hana ubavu ingawa yeye yuko upande wa mama
Hivi tujiulize huyu mama tunayemjua angetoa amri watu wauwawe hivi? Au Kikwete huko aliko amefurahi watu kuuwawa?
Hapana kuna kundi linayofanya haya yote ili liweze kuchukua madaraka ya mama
Ninachoshukuru Polepole bado mzima Mungu amrinde huko aliko,mimi ni yule anayeangalia kwa jicho la tatu
hebu jiulize yule mama aliyewarudisha ndugu zetu kutoka ukimbizini,wakampa heshima zote aliyekubaliwa mpaka na wapinzani leo hii anatoa amri ya kuuwa watu,au angetumia nguvu kubwa kiasi hiki kuingia madarakani wakati kila mtu alikuwa anamkubali,
nani kambadilisha amekuwa hivi mpaka kupoteza nuru yake,amekuwa mnyonge,mwenye hofu wasiwasi,jibu lake ni dogo tu ndiyo wale waliokuwa hawapendi umaarufu wake wa mwanzo,walianza kumkokota taratibu leo hii yupo katikati ya kina cha bahari na kuogelea anategemea migongo ya watu ili asaidiwe,atakuwa na furahaa,inatisha kwelikweli
Sasa watu ndiyo wanazidi kusukuma kete sasa hivi yuko kwenye kilele cha maumivu ya nafsi kesho atakuwa kwenye majuto na kiti chake watakuwa wamekalia wengine wakati yeye yuko gerezani au kaburini,Mkuu lile kumbato la furaha la Samia kumkumbatia Kikwete baada ya Samia kumaliza kufanya kiapo cha urais linaonyesha Samia kunogewa na utamu wa madaraka na hakuamini kama lile zowezi lingefanikiwa.
Urais ni tasisi kubwa sana,huyu ni mwanamke tofauti na Magufuri naamini mambo mengi anategemea kufanyiwa madhara yake ndiyo hayo wakati kuna kundi linafurahia aharibikiwe yeye anabaki kuwa mnyonge wa nafsi anapokumbuka anaiachia inchi doa ambalo halitafutika milele kwa mambo yaliyoshauliwa na wengine na lawama zinamludia mwenyewe
Ingawa mama anaumia amekuwa mnyonge
Kwa sasa Samia hana majuto yoyote hivyo lolote linalomtokea au litakalomtokea mbeleni ni matokeo ya alichokipanda tu, Samia wakati wa Magufuli hadi ilivuma kwamba alitaka kujiuzuru ila leo hii mpaka anasema wasiomtaka wasisubiri hadi kipindi chake kiishe.Sasa watu ndiyo wanazidi kusukuma kete sasa hivi yuko kwenye kilele cha maumivu ya nafsi kesho atakuwa kwenye majuto na kiti chake watakuwa wamekalia wengine wakati yeye yuko gerezani au kaburini,
unakumbuka hotuba yake aligusia kwamba kuna watu wanautaka Urais,basi yajayo yanakuja,inabidi uwe na jicho la tatu
Imechelewa sana!!!upande wa
Ndugu yangu ungejua hali anayopitia mama katika ulimwengu wa kiroho inasikitisha sana,ingawa kwa macho ya kawaida mmnaweza kumuona yuko jasiri kwa matendo na maneno,lakini moyo unaumia na siri zake,View attachment 3511071
Huyu ndio anaumia?? Mnyonge huyu???🤣🤣🤣