Kuna kosa lisilosameheka

Yanayompata huyo baba ,iwe fundisho KUBWA kwa wanaume wenye tabia kama hiyo,unatelekeza mke au watoto huwezi kujua ya kesho,ndo kama hivyo sasa mtoto ana mshiko baba umefulia!wanaume bwana sijui huwa wanawazaga nini vichwani mwao wakati wanatelekeza wake au watoto wao!
 
Kosa nisilosamehe kwa demu wangu ni kugawa papuchi nje

Bulldog;
Akiwakatia akawaachia huko sintamsamehe, lakini kama kafanyia huko akijificha wala sijamwona, akarudi keshaoga. Ni mpya tuu tena sometimes ni kavuuuuuuu.
Ukianza kelele, mbona nilikuona, mbona nilisikia, mbona, mbona. Mapaparazi watasikia nao watayaandika maneno haya; Bulldog kachapiwaaaaaa. Aibu ni yako tu wala si ya dem wako. Yeye kafanya yale yanayo mhusu umfanyie weyee.
Ushauri wangu kwako Bulldog, Ukichapiwa nyamaza. Muulize dem, nimepungua nini hata uchepuke?? Rekebisha, hatarudia
 

Inauma asikwambie mtu kususwa na mzaz tn mda unaomuhtaj zaid...
Anahtaj mda domo wa watu ili asamehe ...muacheni jmn co rahs km tunavyofkria
 

mwache baba ale JEURI yake kwanza.
 
hahahahaha sasa si ndio anaambiwa kuwa yule ni mtu aliye contibute sperms hadi akatoka mtoto lakini hamna lingine la ziada alilolifanya
Hakuna kitu watoto wanapenda kama kuambiwa baba yake....hata awe mbaya namna gani, ila wewe mama ukimuacha mtoto baba akamlea mtoto akiambiwa yule ni mama yako anakuona mkatili mno,sisi wabab tuna faida hiyo,na ndio maana watu huwa wanaacha watoto na kusema akikua atanitafuta mwenyewe...
 
mi nikiona mtu hamsaidii ndugu yake wa karibu au mzazi wake wala simlaumu.
kuna mengi huwa yamejificha.
 

Alieleta UKIMWI duniani ndo amesababisha niwe na maamuzi haya. Ni bora tuachane mazima kuliko kusameehana kusiko kuwa na msingi. Kwa kawaida binadamu tunasahau sana, kuchepuka ni pamoja na kusahau huko
 
mdomo unaponza! Lakn sio vbaya ulivyomtaja cos mm nilikuwa simjui.
Kumbe jamaa anaroho mbaya kiasi hicho!
Roho mbaya kwa kutomsaidia huyo mtu? wanaohitaji msaada ni wengi sana anauwezo wa kuchagua anaetaka kumsaidia, mbona kuna watoto ambao Diamond anawasomesha wazazi wao hawana uwezo? Baba kama amegundua alifanya kosa angemuita Diamond na mamayake amueleze kilichosababisha yeye kumkana hata kama ni sababu ya ujinga wake akubali alikosa kwa Mungu na kwa mwanae pia wayazungumze aombe msamaha ale mema ya mwanae, kujisahaulisha kosa hakuondoi maumivu kwa ulie mkosea ila kuomba msamaha kuna kuweka huru. Dini zote zina himiza toba kabla hujalala hakikisha umetubu yote. Pengine Dimond anakubaliana na huyo mzee kuwa si motto wake.
 
Mzazi ni Mungu wa pili. Akilaani hamna anayeweza kurekebisha hiyo laana
Hivi aliekuzaa akkuatupa na aliekuokota akakulea yupi yuko sahihi kupata matunzo kutoka kwako? Wanawake wanaotupa watoto husakamwa sana na kuonekana wauaji, ila wanaume wanaokataa watoto wao , wanaonekana walikosea kitu kidogo tu wasamehewe kirahisi tu wakati asilimia kubwa ya watoto wa mitaani ni sababu ya kukataliwa na baba zao na kukosa matunzo. Watoto wana haki zote, MBONA HUYO BABA HAKUMLEA HATA KAMA ALIHISI SI WAKE? KWANI ANGEMLEA AKAKUA AKAMWAMBIA MI NI BABA MLEZI SI MZAZI WAKO ANGEPUNGUKIWA NINI? ALIKWEPA MATUMIZI YA MTOTO IKAWA POA, LEO MTOTO ANAKWEPA MATUNZO KWA MZAZI ( KAMA NI KWELI MZAZI WAKE) INAONEKANA MBAYA,! Kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…