Kuna kitu nimeshtukia

Kuna kitu nimeshtukia

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,008
Reaction score
28,342
Kufuatia balozi Polepole kujiudhulu na kwenye barua yake mwishoni kasema yeye atabakikuwa mwanchama mtiifu wa CCM huu ni mtego amewapa.

Yaani Polepole ninaemjua atatoa kauli moja ya kuchafua hali ya hewa ili wamvue uana hama hapo ndio atawavua nguo mwanzo mwisho.

Mpaka sasa kashajipanga liwalo na liwe
Hapa ushauri wangu kwa CCM wasimjibu chochote zaidi ya hapo wataharibu .
 
Kwamba kamevaa mabomu
 
Sasa nani mwenye busara ya kukaa kimya huko CCM.

Kuanzia juu mpaka chini wana akili kama watu walevi wagongo.

Hakuna control ya nani hasa anapaswa kujibu nini. Kesho kila makalio ataitisha press conference na kumjibu Polepole kwa kebehi na jeuri.

Na na hotuba inayofuata ya Bi. Mkubwa katika hafla yeyote ndio atafunga kazi kabisa. Atasuta kama anasutana na wake wenza wake.

Hii nchi kwa sasa inaendeshwa kama kikundi cha VICOBA cha Kwamtogole na kiongozi wake ni kama Zai Kijiwenongwa aliepewa diplomatic status tu.
 
Amekataa wahuni, yaani chama kinataka kibaki na machawa watu smart hawawataki😆, chama nitajaa wambea tupu yaani
 
Kitakacho tokea ccm haitaamini nawaambia
 
Amekataa wahuni, yaani chama kinataka kibaki na machawa watu smart hawawataki😆, chama nitajaa wambea tupu yaani
Acha wivu wewe tafuta chimbo ulambe asali
Uchawa unalipa
 
Uongozi ni dhamana aisee Kuna clip wakati wa kampeni za magu 2020 bashiru/polepole alionekana anachukua mic Kwa nguvu kutoka Kwa kikwete akimwambia muda wake umeisha, duru zimewabadilikia ghafla
 
Kwani huwa mna aibu?
Kila neno limesemwa kwa hawa ila they don’t give a toss
 
Uongozi ni dhamana aisee Kuna clip wakati wa kampeni za magu 2020 bashiru/polepole alionekana anachukua mic Kwa nguvu kutoka Kwa kikwete akimwambia muda wake umeisha, duru zimewabadilikia ghafla
Acha na sisi tuione, lete clip
 
Kufuatia balozi Polepole kujiudhulu na kwenye barua yake mwishoni kasema yeye atabakikuwa mwanchama mtiifu wa CCM huu ni mtego amewapa.

Yaani Polepole ninaemjua atatoa kauli moja ya kuchafua hali ya hewa ili wamvue uana hama hapo ndio atawavua nguo mwanzo mwisho.

Mpaka sasa kashajipanga liwalo na liwe
Hapa ushauri wangu kwa CCM wasimjibu chochote zaidi ya hapo wataharibu .
Kwa yaliyoandikwa tayari ni kuchafua hali ya hewa
 
Asijibiwe wakati humu Jamiiforums tayari Chawa Mwashambwa kashizijibu hoja zote?
 
Back
Top Bottom