Kuna kitu nimeshtukia

Kuna kitu nimeshtukia

Kufuatia balozi Polepole kujiudhulu na kwenye barua yake mwishoni kasema yeye atabakikuwa mwanchama mtiifu wa CCM huu ni mtego amewapa.

Yaani Polepole ninaemjua atatoa kauli moja ya kuchafua hali ya hewa ili wamvue uana hama hapo ndio atawavua nguo mwanzo mwisho.

Mpaka sasa kashajipanga liwalo na liwe
Hapa ushauri wangu kwa CCM wasimjibu chochote zaidi ya hapo wataharibu .

Pole Pole asijaribu kuichezea SISIEMU ,kama anataka kurudi upinzani ni bora arudi hao watu wamekula "VIMA" watampoteza mazima kama SAIDI MPALUKA NYAGALI alivyopotezwa.
 
Huyo Pole Pole ni muhuni kama walivyo wahuni wenzake wa huko CCM... Anachanchofanya ni kama kukomoa bada ya SUKUMA GANG kutupwa nje ya mirija ya ulaji..

Watanzania mnakuwa warahisi kusahau sana.. huyu Polerpole enzi za mwenda zake alikuwa Katili zaidi ya Katili.. Alikuwa mshernzi zaidi ya mshenzi.. Nashangaa baada ya kuchomolewa kenye mirija ya kufyonza juice na maziwa na asali ya kodi za wannchi mnaanza kumuona ni mewma na mkombozi...

Kwa style hii CCM watatawala milele...Ndio maana wanatuchezea miaka mitano yote, ukikaribia uchaguzi mnapoozwa na baiskeli, tishet na kanga mnasahau madhalimu mliyofaniwa mika mitano yote..
 
Acha wivu wewe tafuta chimbo ulambe asali
Uchawa unalipa
Siye wengine tumekataa jumla maisha ya dhambi za kujitakia😆, hata uwe na tamaa kiasi Gani huwezi kumiliki Kila kitu...tujifunze kuridhika
 
Back
Top Bottom