Suluhisho ni moja never ever take a woman serious at any time, utakuja kuumia mbeleni.Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea..... wanawake tumepewa kipaumbele sawa,lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.....Hizi mambo naona ndo zinachangia :
1.kuuua wake zao
2:kuchukia wanawake especially singlemoms
3.kujiua wenyewe
4.nk......
Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni waz ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi ....iwe nje ya ndoa,ndani ya ndoa....wanachuo na kijamii kiujumla.
Mie naamini Suluhu itapatikana.
Only us Mungu akubariki sana.. Una nafasi yako peponi.. Kama ukinipa location nitafanya jambo juu yako[emoji419][emoji375][emoji173]Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea..... wanawake tumepewa kipaumbele sawa,lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.....Hizi mambo naona ndo zinachangia :
1.kuuua wake zao
2:kuchukia wanawake especially singlemoms
3.kujiua wenyewe
4.nk......
Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni waz ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi ....iwe nje ya ndoa,ndani ya ndoa....wanachuo na kijamii kiujumla.
Mie naamini Suluhu itapatikana.
Nahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea..... wanawake tumepewa kipaumbele sawa,lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.....Hizi mambo naona ndo zinachangia :
1.kuuua wake zao
2:kuchukia wanawake especially singlemoms
3.kujiua wenyewe
4.nk......
Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni waz ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi ....iwe nje ya ndoa,ndani ya ndoa....wanachuo na kijamii kiujumla.
Mie naamini Suluhu itapatikana.
Wanaume tunabeba mengi sanaa. Kitu ambacho wanawake hawakijui ni kutembea na mwanaume mwenzagu kunatia dharau kubwa ambayo haibebeki. Yani Bora ukasagane au ufe kuliko kunidhalilisha kias hikiNahisi Kuna mambo mnapitia na yanawaumiza ila mmekosa pa kusemea..... wanawake tumepewa kipaumbele sawa,lakini nahisi wanaume wamesahulika kusikilizwa.....Hizi mambo naona ndo zinachangia :
1.kuuua wake zao
2:kuchukia wanawake especially singlemoms
3.kujiua wenyewe
4.nk......
Sasa Kwa niaba ya jamii na wanawake wenzangu tunaomba kuweni waz ni vitu gani mnakereketwa navyo then hatuwasikilizi ....iwe nje ya ndoa,ndani ya ndoa....wanachuo na kijamii kiujumla.
Mie naamini Suluhu itapatikana.
๐คญHiyo clip inakaujumbe thabiti.Thank youOnly us Mungu akubariki sana.. Una nafasi yako peponi.. Kama ukinipa location nitafanya jambo juu yako[emoji419][emoji375][emoji173]View attachment 2637661
Sent using Jamii Forums mobile app
There is no any how you can be careful on these dramatic creatures. Kabla hujaoa watakuonyesha upande mmoja wa sarafu. Baadaye watakuonyesha upande wa pili wenye picha ya mbwa
๐ ๐ ๐Ila watu wabaya sana๐๐๐๐wakatafuta tu picha za mwamba akiwa na jezi za ccm tu๐๐๐
Hata mama sometimes anaweza kukuangushaI've learned the only Person you can trust is your Mom.
Not often,Hata mama sometimes anaweza kukuangusha