Kuna kitu hakipo sawa ,sijui umegundua

Msiishi kwa kukariri kofia kanzu ni mavazi tu naona huku mtu akivaa kanzu tu au kofia shekhe arabuni watu wanatia kanzu za maana(sio hz za 5,000 rangi tatu) na yupo bar anakula vyombo sijui huku kwetu tunachukuliaje haya mavazi!
Sasa hapo nimekariri nini, kwani huku ni arabuni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom