wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,829
Sihifadhigi/kuangalia video za mashoga.Tupia dm

Acha uongo we jamaa,Mbeya logde gani?Pita kwenye loge zenyewe wanauza na pombe
Uchumi mgumuWanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi iki
Mshamba wa kijijini huyo alisikia huduma kichwa kikajaa mawazo ya Mbususu😅😅😅Uliuliza ni huduma zipi anatoa?
Siku nyingine mkuu, kuwa wazi. Tupe jina la hiyo lodge huu ndio uzalendo. Tusipate shida na sisi tukikamatwa na uchovu.Wanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.
Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?
Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!
Kwann usiulize hiyo huduma ukaishia kutazama tako?Wanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.
Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?
Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!
Yaniii wewe jamaa mie nikajuwa labda mlivamiwa mkabakwa kumbe hayo to hebu towa location fasterWanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.
Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?
Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!

Treheheeheeehee,Achana na vyote, hiyo lodge inatwaje na ipo wapi wengine wakajisevie?

Hilo ndilo la muhimu kabisaAchana na vyote, hiyo lodge inatwaje na ipo wapi wengine wakajisevie?
Dodoma sehemu ganiHizi hata dodoma zipo na mbeya pia