Wanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.
Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?
Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!