Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Unadhani anayoyafanya mwenyekiti wa BAVICHA yanatakiwa yafahamike kwa BAVICHA tu?
Unadhani watanzania wote hawana haja ya kuona BAVICHA inafanya nini?
si kweli mkuu kama anafanya ni kwafaida ya nani?,je anafanya ili aone pekeyake na waliomzunguka?, au inatakiwa jamii nzima ya watanzania ione. Hakuna anaemchukia na hakuna aliependekeza aondolewe bali kianzishwe chimbo ndani ya bavicha kitakachokuwa na majukumu ya kuamsha bavicha.
mkuu jaribu kusoma kwanza posti ,usikimbilie kujibu usichokijua
BAVICHA iko imara mkuu ondoa hofu,kila taasisi inaprogramme zake,uliza ametekeleza mangapi aliyoyaahidi?mengine majungu ,BAVICHA si mwenyekiti pekee,me nalia na Kitengo cha Habari BAVICHA,kiamke
Sasa kwenye hoja kama hii habari za Peneza zinatoka wapi?
PISTO
Tambua kuwa chadema,inafanya mambo kisayansi,kila siku kuna staili ya kutoka.
Ushauri wako unaweza kupeleka ofisini kwao.
wanachama wa Bavicha wanataratibu zao,Heche alifyeka misitu,Patrobasi anajenga sasa hatia hizi hazifanani
unakubali nini na unakataanini sasa,hizo habari unataka zitoke wapi? Jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bavicha tuamkebavicha iko imara mkuu ondoa hofu,kila taasisi inaprogramme zake,uliza ametekeleza mangapi aliyoyaahidi?mengine majungu ,bavicha si mwenyekiti pekee,me nalia na kitengo cha habari bavicha,kiamke
kwahiyo umeamua kupambana na kivuli chako siyo? Ok endeleasasa kwenye hoja kama hii habari za peneza zinatoka wapi?
i like you kamandakwani kitengo cha habari hakiko chini ya mwenyekiti wa bavicha?
Hakuna mtu mwenye majungu hapa...watu tunakosoa hadharani na kwa fact.
Tunataka kuona baraza la vijana vibrant...wao ndio walitakiwa wawe wana run the shownchi nzima....
Walitakiwa wawe kweye midomo ya watanzania
tusilete visingizio eti kazi zinafanyika kimya kimya...kazi ya siasa na kimya kimya wapi na wapi?
Patrobas ajitafakari....mshaurini aiweke timu yake vizuri...waingie kazini
kama hawezi yeye aunde timu au task force ya kuendesha operesheni anuwai.....
Tatizo lililopo bavicha ni central coordination
Mkuu huna card wala nini huwezi kukipenda kitu usichokijua hata mbwa anapenda dampo kwakua analijua anapata chakula
Kitengo cha habari BAVICHA ndo cha kuvisha lawama,hakifanyi Publicity ya kutosha,bt ushauri nao ni muhimu na utafanyiwa kazi,kwani hata mimi ni BAVICHA
By Freeland :
A lady Upendo Furaha Peneza
would have fitted for this
job.....Tumepoteza sana kwa
yule Patrobas kuchukua hii Youth
Wing
Finally you show up your colours!
Magamba bhana mnajitia dole then mnanusa mnabinua pua kama mbuzi,Mwenyekiti ni powerful na atawavua vyupi mwaka huu.
Mwenyekiti Bavicha anawatia viwewe vibaraka Wa CCM...
Upo sahihi sana ndugu.Huyo jamaa yupo kwenye mission hiyo.Hajawahi kuongea point hata moja.Nawashangaa sana wanaomuunga mkono na huku wanajiita makamanda.Are you sure? Nina wasiwasi mkubwa sana na wewe ...Wewe sio Mwanachama wala shabiki wa CHADEMA
Wewe ni mwanachama wa CCM ndani ya ID inayojifanya ni CHADEMA
Lengo lako ikiwa ni kuropoka kuonesha kwamba CHADEMA kuna wapuuzi kama waliopo CCM