Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Chadema tupendeni kuambiana ukweli. Sio kila anae sema ukweli ni Msaliti. sisi wengine ni wanachama na mashabiki wa chadema hivyo sehemu kama hii ndio njia pekee ya kujenda chamba kwz kueleweshana.
 
bavicha iko imara mkuu ondoa hofu,kila taasisi inaprogramme zake,uliza ametekeleza mangapi aliyoyaahidi?mengine majungu ,bavicha si mwenyekiti pekee,me nalia na kitengo cha habari bavicha,kiamke
tulihamwe!!

-ukimlilia mwanahabari bavicha mwenyekiti atakwepa??

Katambi jisahihishe bado tuna kuhitaji!
 
just wait u will see

mkuu mwenzi wa kumi ni kesho kutwa, Bavicha washaurini vijana wajiandikishe kwenye daftari la wapiga kura, walau bavicha iwe na mtaji wa Vijana wa uwakika Million 3. kabla ya uchaguzi.
 
chadema tupendeni kuambiana ukweli. Sio kila anae sema ukweli ni msaliti. Sisi wengine ni wanachama na mashabiki wa chadema hivyo sehemu kama hii ndio njia pekee ya kujenda chamba kwz kueleweshana.

hakuna aliyesema wewe ni msaliti!
-bali ili tufikie kwenye malengo lazima tutofautoane na mwishowe tuungane kwa ari nzuri.
 
hakuna aliyesema wewe ni msaliti!
-bali ili tufikie kwenye malengo lazima tutofautoane na mwishowe tuungane kwa ari nzuri.

CHADEMA KWANZA kila mwenye mawazo tofau na yake, utaskia ni msaliti, kibaraka wa ccm,
 
Last edited by a moderator:
mwenyekiti wa bavicha kashindwa kazi, chama kitafute mtu mwingine vijana wa chadema hatutaki kuliuwa baraza hili kabisa, leo hii ipo wapi tofauti ya uvccm na bavicha?

hakika mkuu ajisahihishe!√√
 
mkuu mwenzi wa kumi ni kesho kutwa, Bavicha washaurini vijana wajiandikishe kwenye daftari la wapiga kura, walau bavicha iwe na mtaji wa Vijana wa uwakika Million 3. kabla ya uchaguzi.


Ushauri mzuri na unafanyiwa kazi/utafanyiwa kazi soon
 

ntidic........names to all his political enemies!
 
thru bavicha vijana wanaweza kupewa soma dhidi ya abui wa mabadiliko CCM na vibara wao wachumia tumbo ACT, tuaomba Mwenyekiti apite kote wanako pita hawa Mafisadi na Vibaraka wao.
 

-yawezekana hata jina amejipachika zuri kuficha yaliyonyuma ya pazia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…