Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA


Yaap....nalipindi hiki ndio mchaka mchaka ulitakiwa uanze....lkn Mwenyekiti sanasana utamckia kwenye ziara za viongozi wakuu wa chama wanapokuwepo...Kiukweli ile Sprit iliyoanzisha CDM nw imepoa sana
 
Kwa mawazo yako unafikiri wanaokipigia kura ya ndio chadema wote ni wanachama?

Nadhani huyo ndg ndivyo anavyofikiria.....nahata huko CCM cwote niwanachama wanaokichagua sasa humu watu badala yakuambiana ukweli wanasema upeleke malalamiko Kwenye mikutano....!! Tukijenga tabia yakucfiana tu Hatutakuwa tofauti na hao CCM tunaowanga
 
Kwenye siasa za kimageuzi tunahitaji/kunahithtajika strong influencial figure ili kuweza kuuza sera, anyway kwny mada hii cna uhakika cdm ilifikiria hivo kuliko kuangalia taaluma. Hawa wa taaluma waweza kutumika kwny nafasi za kiutendaji zaidi.
 
Nakubaliana na wewe, kuogopa mijadala kutafanya viongozi wasiwe na weledi au uwezo wa kupambana kihoja na hili ni baya pindi watakapokutana na vijana wa ccm walio makini (kama wapo), mijadala inapanua ubongo na mtu anajiona kwenye kioo wapi amechafuka au wapi nguo imechanika, tuache kuitana ccm au act kukwepa hoja
 
Last edited by a moderator:
Patrobas anachukiwa sana na viongozi wakuu wa Chadema kisa hatoki kaskazini,
 
Chaguo la Mbowe lilikuwa upendo, Patrobas hapati ushirikiano kutoka makao makuu, hata mikutano anayofanya anatumia pesa zake mwenyewe.
 
Hivi viongozi wa Bavicha ni kina nani.
 

Nimekuvumilia ila sasa siwezi endelea tena. Sio bawacha ni bavicha acha kutuchefua.
 
By Freeland :
A lady Upendo Furaha Peneza
would have fitted for this
job.....Tumepoteza sana kwa
yule Patrobas kuchukua hii Youth
Wing



Finally you show up your colours!
we ndo hovyo kabisa sasa hapa unafanya nini!?
 
Tabia ya mashabiki wa CDM kutopenda kukoselewa na kupokea changamoto itakimaliza chama
 
Chadema kanda ya ziwa wanachukiwa sana na viongozi wakuu, wote wanaonekana wasaliti, Patrobas lazima atimuliwe Bavicha
 
Chaguo la Mbowe lilikuwa upendo, Patrobas hapati ushirikiano kutoka makao makuu, hata mikutano anayofanya anatumia pesa zake mwenyewe.
Dah! Usipoangalia watu watakuwa wanakutizama kama roboti, kuna wakati huwa natamani nikuone live maana huwa najiuliza kama akili yako hivi mwonekano wako ukoje?
 



Yes nami napinga sana hiyo mentality tuliyonayowanaCDM kwamba kila anaekikosoa chama/viongozi kuitwa mamluki,msaliti ama gamba,huko kunakuwa ni kukwepa hoja,hoja hujibiwa kwa hoja na si kubandikana majina ya ajabu,kuna namna nyingi za kuwasilisha ujumbe/maoni mojawapo ndo hii ya social Network,over
 
Tulipowaambia viongozi wapya Wa jumuiya za chadema ni Wa Zitto mlibisha, oneni sasa!. Patrobas, Mzee n.k.
 
Patrobas inawezekana anatumika na boss wake Wa CCM mkoa Wa Mwnz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…