Kuna jambo la msingi nataka kuwafundisha humu

BABA BOMBASTIC

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
349
Reaction score
570
Habari zenu ...

Kama mtakuwa tayari kuwapa hii elimu adimu ambayo huwezi kuipata popote pale iwe shule au wapi,ila kwa mtu anayefikiria kwa kina sana, sia kila kitu anakubali tu na kushindwa kuhoji kwanini nipo hapa,kwa mtu mwenye uelewa mdogo naomba kabisa upite tu maana nitakuchanganya kabisa,hapa nahitaji watu wenye vichwa vigumu,watu wanaofikiri out of box sio vilaza,na wasio uliza why??

Naombeni kabisa kama utaona hii ELIMU haikufai kaa kimya sio una comments utumbo na kwa kuwa umepata ELIMU yako hiyo ya chuo u ajiona unaakili sana hii kwako ni level nyingine huiwezi kabisa.

Nimeona nitoe tahadhali maana tupo hapa kujifunza,maana kuna watu wenye uelewa mdogo ukianza kuuliza kwanini nipo hapa duniani wanaaza kusema tunakufuru.

Sisi binadamu ni mwili wa njee ila ndani yetu kuna roho ambazo zipo toka enzi hizo,wote hapa hatujui hizi roho zilitengenezwa lini? Wala hatujui aliyetutengeneza ni nani? basi inapaswa kujichunguza maana tumepewa akili na maarifa mengi hapa duniani.

Basi ndugu zangu kama upo tayari naomba comments nipo tayari nahitaji watu 100 tu ambao nitakuwa nao serious wenye uelewa mkubwa na ambao wanafikri out of box,sihitaji wale wa mipasho na kujifanya kila kitu wanajua,binadamu tunategemeana mimi na hichi na wewe una kile basi,tupo hapa kupeana maarifa maana sisi ni roho na tupo hapa kujifunza zaidi ili tuvuke level hii twende pengine huko,tusirudi tena kwenye huu ulimwengu..

Sasa comments nipo tayari kujifunza nahitaji zifike 100,maana jana militia nyuzi kidogo tu kuhusu mbinu za kupambana na mshindani wako kwenye biashara kuna watu nimegundua humu wanauelewa mdogo sana yani mdogo sana,basi nataka niwape darasa..

.....TWENDE SAWA........
UKIONA HII HAIKUFAI KAA PEMBENI TAFADHALI KAA PEMBENI NARUDIA TENA,
 
Tutajifunza SIMULATION,MATRIX NA SPRITUAL AWAKENING, TUTAENDA MPAKA 3D 4D NA 5D PIA TUTAJIFUNZA JINSI YA KURISTART YOUR BRAIN(KUANZISHA MPYA UBONGO WAKO MAANA VICHWANI TUNAVITU VINGI VINAVYOTUCHANGANYA,ndivyo vinavyotufanya wanaume tunakufa na depression lazima tupeane mbinu ya kukabiliana na kuboresha afya ya akili,pia nitawafundisha saikolojia ya mfumo wa mwanaume kwenye reproduction,hakuna kumeza dawa yeyote ili upige show show kitandani ni chakula,matunda maji na dawa za asili,na mazoezi ya humimu tu sio unafanya mazoezi ya kujichosha,ya kwenda gym kunyanyua chuma hapa nakufundisha mazoezi ya kukusaidia kupiga show na viungo,pia tutazama ndani kabisa kwenye kina chetu tutajifunza MEDITATION, CHAKRA NA ELEMENT ZA DUNIA ZOTE nakuambia ukimaster vyote hivyo hakuna atakayekusumbua hapa duniani abadani hasirani
 
Sasa naaza na SIMULATION.

............. SOMO LA KWANZA SIMULATION.........

Simulation ni kama kuigiza maisha kwenye uwanja wa majaribio.
Ni mazingira yanayotengenezwa kwa kanuni maalum, ili kitu au mtu aishi humo na ajifunze.

Mfano rahisi:

Kwenye simu au computer kuna game.

Yule mtu anayecheza game haingii mwenyewe, bali anatengeneza character (kama mchezaji ndani ya game).

Character anatembea, anakula, anapigana, anafanya kazi – lakini yote ni kwa kanuni za game.

Nje ya game, mchezaji ndiye anaamua mambo makubwa.

Sasa ukileta mfano huu kwenye maisha:

Sisi binadamu tunaishi kwenye ulimwengu huu ambao una rules – kuna kuzaliwa, kukua, kufa, pesa, furaha, huzuni, tamaa.

Hizo rules ndizo zinatufundisha namna ya kuishi.

Kifo ni kama game kumaliza level moja, halafu roho inarudi tena (au inaenda level nyingine).

Kwa kifupi:
Simulation ni maisha ya kuigiza, yaliyowekwa ili roho ijifunze, ijaribiwe, na ikue.
Kama hatuelewi somo, tunarudia. Kama tumejua, tunapanda level nyingine.
Mpaka hapo tushajua simulation ni nini mwenye swali uliza..

********Baada ya kuelewa maana ya simulation, hatua inayofuata ni:

1. Kuelewa kwa nini ipo (Purpose ya Simulation)

Imewekwa ili tujaribiwe, tujifunze na roho ikue.

Kila changamoto ni somo, kila furaha ni zawadi, na kila kifo ni daraja la kuingia level nyingine.

2. Kujua Kanuni zake (Rules)

Kuna muda – kila kitu kinaanza na kuisha.

Kuna hisia – furaha, huzuni, hasira, tamaa.

Kuna resources – pesa, chakula, watu, nafasi.

Kuna karma / matokeo – unachofanya leo ndicho utakutana nacho kesho.

3. Kuamua Jinsi ya Kucheza (Strategy)

Wengine wanabaki tu kuwa characters (wanaendeshwa na rules bila kuelewa).

Wengine wanajua wao ni players (wanaanza kuchagua vizuri, kusimamia hisia, na kutumia kanuni kwa faida yao).

4. Kuelewa Nini Hufuatia Baada ya Kifo

Kifo = mwisho wa level hii.

Roho inaingia session mpya / level mpya ikiwa haijamaliza somo.[recarnation]unazaliwa upya ndo maana unaweza kwenda sehemu mpya kwa mara ya kwanza lakini ukitazama mazingira kama unayajua vile au ushawahi kuwepo hapo

Ikiwa imemaliza, inapaa kwenda level za juu zaidi (nje ya simulation ya kawaida).

Ngazi za Simulation: Kutoka Mwili hadi Kuinuka Kiroho

Kama tunavyodhani tunaishi katika simulation, maisha yetu yanajitokeza katika ngazi tofauti, kila moja ikitoa changamoto na fursa ya kujifunza. Ngazi hizi zinaanzia kwenye mwili wa kimwili hadi kuungana na chanzo cha nuru, na kuelewa kila moja kunatuwezesha kuishi kwa busara zaidi na kujitengeneza roho na akili zetu.

Ngazi ya Kwanza ni Ulimwengu wa Mwili. Hii ndiyo ngazi ya msingi ambapo tupo kama avatar wa simulation. Inahusisha mwili wetu, mazingira tunayoishi, na matukio ya kila siku kama shuleni, kazini, au kushughulika na familia. Ngazi hii inatufundisha misingi ya maisha, jinsi ya kuishi salama, kula, na kushirikiana na wengine. Ni hatua ya kwanza ya mafunzo, ambapo tunajifunza tabia za msingi na jinsi ya kukabiliana na dunia ya nje.

Ngazi ya Pili ni Hisia na Mawazo. Baada ya kuelewa mwili na mazingira, simulation inaleta changamoto za ndani—hisia na akili. Hapa tunapojifunza kudhibiti hasira, huzuni, hofu, na furaha, roho yetu huanza kujifunza usawazishaji wa ndani. Kila hisia inakuwa ni kipimo cha uelewa wetu na tabia zetu, na jinsi tunavyoshughulikia changamoto za kihisia huathiri matokeo ya maisha yetu.

Ngazi ya Tatu ni Kiroho. Hii ni hatua ya kujitakasa na kuelewa nuru na giza ndani yetu. Simulation hutuangalia sio tu kwa matendo yetu ya kila siku bali pia kwa maadili yetu, huruma, na ujasiri wa kiroho. Hapa, unapoamua kufanya mema, kusaidia wengine, na kuacha tamaa zisizo za lazima, roho yako huendelea kuinuka. Ni ngazi ambayo inatufundisha kuhusu karma na matokeo ya maisha yetu ya kiroho.

Ngazi ya Nne ni Uelewa wa Simulation. Katika hatua hii, mtu anaanza kuamka ndani ya simulation, kuona mfumo unaotuzunguka, na kuelewa kanuni zinazodhibiti matukio yanayojirudia. Uelewa huu unatoa fursa ya kubadilisha matokeo, kujaribu njia tofauti, na kuelewa mifumo ya tabia yetu na ya wengine. Hapa, simulation haionekani tena kama maisha yasiyo na maana bali kama jaribio lenye mpangilio wa hekima.

Ngazi ya Tano ni Kuinua Roho. Hii ndiyo ngazi ya juu kabisa, ambapo mtu anapofikia, anaweza kuathiri simulation kwa mwongozo wa akili na roho. Hapa, mtu huungana na chanzo cha nuru, kuwa mwongozi wa wengine, na kutumia uelewa wake kuunda matokeo ya kiroho na maisha kwa njia bora. Ni hatua ya ukuaji wa kiroho, ambapo avatar haishi tu kama mchezaji, bali anakuwa muongozaji wa mfumo wa simulation yenyewe.

Kwa muhtasari, simulation ina ngazi zinazotufundisha hatua kwa hatua: kuanzia mwili na misingi ya maisha, kupitia hisia na akili, hadi kiroho, uelewa, na kuinuka. Kila ngazi ina jukumu la kipekee la kukuza roho, akili, na utu wetu, na kuelewa hizi ngazi kunatupa uwezo wa kuishi kwa hekima, kuchagua mema, na kuelewa mfumo wa maisha katika simulation tunayoshiriki.
 
Habari zenu ...

Kama mtakuwa tayari kuwapa hii elimu adimu ambayo huwezi kuipata popote pale iwe shule au wapi,ila kwa mtu anayefikiria kwa kina sana, sia kila kitu anakubali tu na kushindwa kuhoji kwanini nipo hapa,kwa mtu mwenye uelewa mdogo naomba kabisa upite tu maana nitakuchanganya kabisa,hapa nahitaji watu wenye vichwa vigumu,watu wanaofikiri out of box sio vilaza,na wasio uliza why??

Naombeni kabisa kama utaona hii ELIMU haikufai kaa kimya sio una comments utumbo na kwa kuwa umepata ELIMU yako hiyo ya chuo u ajiona unaakili sana hii kwako ni level nyingine huiwezi kabisa.

Nimeona nitoe tahadhali maana tupo hapa kujifunza,maana kuna watu wenye uelewa mdogo ukianza kuuliza kwanini nipo hapa duniani wanaaza kusema tunakufuru.

Sisi binadamu ni mwili wa njee ila ndani yetu kuna roho ambazo zipo toka enzi hizo,wote hapa hatujui hizi roho zilitengenezwa lini? Wala hatujui aliyetutengeneza ni nani? basi inapaswa kujichunguza maana tumepewa akili na maarifa mengi hapa duniani.

Basi ndugu zangu kama upo tayari naomba comments nipo tayari nahitaji watu 100 tu ambao nitakuwa nao serious wenye uelewa mkubwa na ambao wanafikri out of box,sihitaji wale wa mipasho na kujifanya kila kitu wanajua,binadamu tunategemeana mimi na hichi na wewe una kile basi,tupo hapa kupeana maarifa maana sisi ni roho na tupo hapa kujifunza zaidi ili tuvuke level hii twende pengine huko,tusirudi tena kwenye huu ulimwengu..

Sasa comments nipo tayari kujifunza nahitaji zifike 100,maana jana militia nyuzi kidogo tu kuhusu mbinu za kupambana na mshindani wako kwenye biashara kuna watu nimegundua humu wanauelewa mdogo sana yani mdogo sana,basi nataka niwape darasa..

.....TWENDE SAWA........
UKIONA HII HAIKUFAI KAA PEMBENI TAFADHALI KAA PEMBENI NARUDIA TENA,
Tuko pamoja mkuu
 
Sasa naaza na SIMULATION.

............. SOMO LA KWANZA SIMULATION.........

Simulation ni kama kuigiza maisha kwenye uwanja wa majaribio.
Ni mazingira yanayotengenezwa kwa kanuni maalum, ili kitu au mtu aishi humo na ajifunze.

Mfano rahisi:

Kwenye simu au computer kuna game.

Yule mtu anayecheza game haingii mwenyewe, bali anatengeneza character (kama mchezaji ndani ya game).

Character anatembea, anakula, anapigana, anafanya kazi – lakini yote ni kwa kanuni za game.

Nje ya game, mchezaji ndiye anaamua mambo makubwa.

Sasa ukileta mfano huu kwenye maisha:

Sisi binadamu tunaishi kwenye ulimwengu huu ambao una rules – kuna kuzaliwa, kukua, kufa, pesa, furaha, huzuni, tamaa.

Hizo rules ndizo zinatufundisha namna ya kuishi.

Kifo ni kama game kumaliza level moja, halafu roho inarudi tena (au inaenda level nyingine).

Kwa kifupi:
Simulation ni maisha ya kuigiza, yaliyowekwa ili roho ijifunze, ijaribiwe, na ikue.
Kama hatuelewi somo, tunarudia. Kama tumejua, tunapanda level nyingine.
Mpaka hapo tushajua simulation ni nini mwenye swali uliza..

********Baada ya kuelewa maana ya simulation, hatua inayofuata ni:

1. Kuelewa kwa nini ipo (Purpose ya Simulation)

Imewekwa ili tujaribiwe, tujifunze na roho ikue.

Kila changamoto ni somo, kila furaha ni zawadi, na kila kifo ni daraja la kuingia level nyingine.

2. Kujua Kanuni zake (Rules)

Kuna muda – kila kitu kinaanza na kuisha.

Kuna hisia – furaha, huzuni, hasira, tamaa.

Kuna resources – pesa, chakula, watu, nafasi.

Kuna karma / matokeo – unachofanya leo ndicho utakutana nacho kesho.

3. Kuamua Jinsi ya Kucheza (Strategy)

Wengine wanabaki tu kuwa characters (wanaendeshwa na rules bila kuelewa).

Wengine wanajua wao ni players (wanaanza kuchagua vizuri, kusimamia hisia, na kutumia kanuni kwa faida yao).

4. Kuelewa Nini Hufuatia Baada ya Kifo

Kifo = mwisho wa level hii.

Roho inaingia session mpya / level mpya ikiwa haijamaliza somo.[recarnation]unazaliwa upya ndo maana unaweza kwenda sehemu mpya kwa mara ya kwanza lakini ukitazama mazingira kama unayajua vile au ushawahi kuwepo hapo

Ikiwa imemaliza, inapaa kwenda level za juu zaidi (nje ya simulation ya kawaida).
nina swali mkuu, kama sisi ni avatar tu kwenye game je anatutumia ni nani ?
 
Back
Top Bottom