mhh alikua ana mengi ya kusema ila atakua ameogopa ...........Baada ya uteuzi kupita na wateule kuapishwa hatimaye jana nilipata nafasi ya kumpigia simu rafiki yangu huyo ambaye alikuwa boss wa wilaya lakini ameachwa. Kwa sababu wiki iliyopita nilikutanq naye na alikuwa na matumaini makubwa kwamba atasalia kwa sababu alipenyezewa nyepesi nyepesi kwamba wale wote ambao wilaya zao zilifanya vizuri wakati wa uchaguzi watabakizwa na yeye alijigamba kwamba wilayani kwake hakuna hakuna diwani wa ukawa kwa lazima atabakizwa. Sasa nilipompigia simu ya kumpa pole kwa yaliyomkuta huku ukizingatia kwamba rafiki yangu huyo hata miaka 40 hajafikifikisha. Hili ndio jibu alilonipa " brother , this world is full of fake people , don't believe any body " . Nikaona kuna jambo la kujifunza hapa , je wewe umejifunza nn kutokana na bwana huyo.
Ufuatao ni Ufisadi wa Chama Cha Majipu (CCM):-nimejifunza kwamba ukawa ni mafisadi
Hapo ni mshahara wa dhambi ni mautiBaada ya uteuzi kupita na wateule kuapishwa hatimaye jana nilipata nafasi ya kumpigia simu rafiki yangu huyo ambaye alikuwa boss wa wilaya lakini ameachwa.
Kwa sababu wiki iliyopita nilikutanq naye na alikuwa na matumaini makubwa kwamba atasalia kwa sababu alipenyezewa nyepesi nyepesi kwamba wale wote ambao wilaya zao zilifanya vizuri wakati wa uchaguzi watabakizwa na yeye alijigamba kwamba wilayani kwake hakuna hakuna diwani wa ukawa kwa lazima atabakizwa.
Sasa nilipompigia simu ya kumpa pole kwa yaliyomkuta huku ukizingatia kwamba rafiki yangu huyo hata miaka 40 hajafikifikisha. Hili ndio jibu alilonipa " brother , this world is full of fake people , don't believe any body " . Nikaona kuna jambo la kujifunza hapa , je wewe umejifunza nn kutokana na bwana huyo.
Yaani alikuwa anajitapa eti wilayani kwake hakuna hata diwani wa upinzani? Hayo sasa yaliyo mpata ndiyo malipo yake ya kukandamiza upinzani na dhambi hiyo itaendelea kumtafuna na mtu kama huyo hatakiwi kuonewa huruma kabisaBaada ya uteuzi kupita na wateule kuapishwa hatimaye jana nilipata nafasi ya kumpigia simu rafiki yangu huyo ambaye alikuwa boss wa wilaya lakini ameachwa.
Kwa sababu wiki iliyopita nilikutanq naye na alikuwa na matumaini makubwa kwamba atasalia kwa sababu alipenyezewa nyepesi nyepesi kwamba wale wote ambao wilaya zao zilifanya vizuri wakati wa uchaguzi watabakizwa na yeye alijigamba kwamba wilayani kwake hakuna hakuna diwani wa ukawa kwa lazima atabakizwa.
Sasa nilipompigia simu ya kumpa pole kwa yaliyomkuta huku ukizingatia kwamba rafiki yangu huyo hata miaka 40 hajafikifikisha. Hili ndio jibu alilonipa " brother , this world is full of fake people , don't believe any body " . Nikaona kuna jambo la kujifunza hapa , je wewe umejifunza nn kutokana na bwana huyo.
Kutokana na ugumu wa maisha naona hata akili zako zimeshakuwa screpanimejifunza kwamba ukawa ni mafisadi
Hakuna haja ya kumuonea huruma mtu kama huyoKama una unaweza jiepushe sana na kazi za uteuzi..hasa kipindi hiki yaani unaishi kwa hofu na mashaka
Hayo tayari ndiyo malipo kwa aliyo yafanya ya kuwabania wapinzani washindwe wilayani kwake maana malipo ni hapa dunianiPole yakee mungu atamlipa mbingun
Hapo ndio tujue na kuamini kuwa hawa watu nia yao si kuwatumikia wananchi tu bali kukilinda ccm, hata hivyo mungu huwa hadanganywi na mwanadamuKwa hiyo Jambo la kujivunia analoweza kukifanyia reference katika kipindi chote alichokuwa DC ni UKAWA kutopata diwani hata mmoja katika wilaya yake?
Hakika huyu alikua ni wa kuaibishwa mbele za camera, tena wakati anaondoka ukumbini wangemsindikiza na Kofi la kichogoni kwa kosa la jina lake kujitokeza kimakosa.
Mbona mwenzake Makibda alipoteza kila kitu kwa upinzani ndani ya wilaya take na kakumbukwa, ingawa na ataendelea kupoteza tena na tena, huku akitumia vyombo vya habari kuhadaa kuwa kafanikiwa