Kuna jambo la kujifunza hapa kutoka kwa DC aliyetumbuliwa.

ibesa mau

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Messages
1,867
Likes
1,204
Points
280
ibesa mau

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2015
1,867 1,204 280
Baada ya uteuzi kupita na wateule kuapishwa hatimaye jana nilipata nafasi ya kumpigia simu rafiki yangu huyo ambaye alikuwa boss wa wilaya lakini ameachwa.

Kwa sababu wiki iliyopita nilikutanq naye na alikuwa na matumaini makubwa kwamba atasalia kwa sababu alipenyezewa nyepesi nyepesi kwamba wale wote ambao wilaya zao zilifanya vizuri wakati wa uchaguzi watabakizwa na yeye alijigamba kwamba wilayani kwake hakuna hakuna diwani wa ukawa kwa lazima atabakizwa.

Sasa nilipompigia simu ya kumpa pole kwa yaliyomkuta huku ukizingatia kwamba rafiki yangu huyo hata miaka 40 hajafikifikisha. Hili ndio jibu alilonipa " brother , this world is full of fake people , don't believe any body " . Nikaona kuna jambo la kujifunza hapa , je wewe umejifunza nn kutokana na bwana huyo.
 
ibesa mau

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Messages
1,867
Likes
1,204
Points
280
ibesa mau

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2015
1,867 1,204 280
nilichojifunza anawalaumu waliomfanyia vetting kwa kupeleka taarifa zake za uwongo .
 
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Messages
5,556
Likes
5,059
Points
280
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2015
5,556 5,059 280
Baada ya uteuzi kupita na wateule kuapishwa hatimaye jana nilipata nafasi ya kumpigia simu rafiki yangu huyo ambaye alikuwa boss wa wilaya lakini ameachwa. Kwa sababu wiki iliyopita nilikutanq naye na alikuwa na matumaini makubwa kwamba atasalia kwa sababu alipenyezewa nyepesi nyepesi kwamba wale wote ambao wilaya zao zilifanya vizuri wakati wa uchaguzi watabakizwa na yeye alijigamba kwamba wilayani kwake hakuna hakuna diwani wa ukawa kwa lazima atabakizwa. Sasa nilipompigia simu ya kumpa pole kwa yaliyomkuta huku ukizingatia kwamba rafiki yangu huyo hata miaka 40 hajafikifikisha. Hili ndio jibu alilonipa " brother , this world is full of fake people , don't believe any body " . Nikaona kuna jambo la kujifunza hapa , je wewe umejifunza nn kutokana na bwana huyo.
mhh alikua ana mengi ya kusema ila atakua ameogopa ...........
 
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
7,105
Likes
9,325
Points
280
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
7,105 9,325 280
nimejifunza kwamba ukawa ni mafisadi
 
T

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
2,754
Likes
3,262
Points
280
T

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
2,754 3,262 280
nimejifunza kwamba ukawa ni mafisadi
Ufuatao ni Ufisadi wa Chama Cha Majipu (CCM):-
Escrow, Lugumi, meli Chakavu, Richmond, Nyumba za umma, Kiwira, Kagoda, mere meta, NBC, rada, Epa, kuhamisha Fedha za umma kienyeji, kuchakachua Katiba na matokeo ya Uchaguzi Zanzibar, kupuuza Katiba, sheria kanuni na taratibu za utumishi wa umma.
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,209
Likes
47,999
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,209 47,999 280
Unafiki.
 
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,461
Likes
14,159
Points
280
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,461 14,159 280
Ccm wanafanyiana unafiki,hivyo unafiki ni sehemu ya maisha halali ya mwana ccm
 
D

dr lumilo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2016
Messages
251
Likes
46
Points
45
Age
37
D

dr lumilo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2016
251 46 45
Pole yakee mungu atamlipa mbingun
 
Mavipunda

Mavipunda

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
5,027
Likes
3,812
Points
280
Mavipunda

Mavipunda

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
5,027 3,812 280
Kama una unaweza jiepushe sana na kazi za uteuzi..hasa kipindi hiki yaani unaishi kwa hofu na mashaka
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
65,349
Likes
28,246
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
65,349 28,246 280
Baada ya uteuzi kupita na wateule kuapishwa hatimaye jana nilipata nafasi ya kumpigia simu rafiki yangu huyo ambaye alikuwa boss wa wilaya lakini ameachwa.

Kwa sababu wiki iliyopita nilikutanq naye na alikuwa na matumaini makubwa kwamba atasalia kwa sababu alipenyezewa nyepesi nyepesi kwamba wale wote ambao wilaya zao zilifanya vizuri wakati wa uchaguzi watabakizwa na yeye alijigamba kwamba wilayani kwake hakuna hakuna diwani wa ukawa kwa lazima atabakizwa.

Sasa nilipompigia simu ya kumpa pole kwa yaliyomkuta huku ukizingatia kwamba rafiki yangu huyo hata miaka 40 hajafikifikisha. Hili ndio jibu alilonipa " brother , this world is full of fake people , don't believe any body " . Nikaona kuna jambo la kujifunza hapa , je wewe umejifunza nn kutokana na bwana huyo.
Hapo ni mshahara wa dhambi ni mauti
 
Yaani alikuwa anajitapa eti wilayani kwake hakuna hata diwani wa upinzani? Hayo sasa yaliyo mpata ndiyo malipo yake ya kukandamiza upinzani na dhambi hiyo itaendelea kumtafuna na mtu kama huyo hatakiwi kuonewa huruma kabisa
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
65,349
Likes
28,246
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
65,349 28,246 280
Kama una unaweza jiepushe sana na kazi za uteuzi..hasa kipindi hiki yaani unaishi kwa hofu na mashaka
Hakuna haja ya kumuonea huruma mtu kama huyo
 
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,270
Likes
11,778
Points
280
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,270 11,778 280
Kwa hiyo Jambo la kujivunia analoweza kukifanyia reference katika kipindi chote alichokuwa DC ni UKAWA kutopata diwani hata mmoja katika wilaya yake?
Hakika huyu alikua ni wa kuaibishwa mbele za camera, tena wakati anaondoka ukumbini wangemsindikiza na Kofi la kichogoni kwa kosa la jina lake kujitokeza kimakosa.
Mbona mwenzake Makibda alipoteza kila kitu kwa upinzani ndani ya wilaya take na kakumbukwa, ingawa na ataendelea kupoteza tena na tena, huku akitumia vyombo vya habari kuhadaa kuwa kafanikiwa
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
65,349
Likes
28,246
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
65,349 28,246 280
Kwa hiyo Jambo la kujivunia analoweza kukifanyia reference katika kipindi chote alichokuwa DC ni UKAWA kutopata diwani hata mmoja katika wilaya yake?
Hakika huyu alikua ni wa kuaibishwa mbele za camera, tena wakati anaondoka ukumbini wangemsindikiza na Kofi la kichogoni kwa kosa la jina lake kujitokeza kimakosa.
Mbona mwenzake Makibda alipoteza kila kitu kwa upinzani ndani ya wilaya take na kakumbukwa, ingawa na ataendelea kupoteza tena na tena, huku akitumia vyombo vya habari kuhadaa kuwa kafanikiwa
Hapo ndio tujue na kuamini kuwa hawa watu nia yao si kuwatumikia wananchi tu bali kukilinda ccm, hata hivyo mungu huwa hadanganywi na mwanadamu
 
Forum statistics

Threads 1,238,698
Members 476,123
Posts 29,326,874