Kuna jamaa alikuwa anataka kunichomesha kwa Viongozi

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,376
Reaction score
5,471
Nlimkaribisha kazini miaka ya 2013. Leo hii ananipigia simu anaweka loud speaker wakubwa zangu wanisikie aki record kutaka nishikisha moto.

Jamaa huyu kisa ni last week nliponda kuwa tumekosa weledi tunawatumia wanasiasa ambao hata akili hawana katika huu uchaguzi wanajulikana ni mapandikizi wetu. Nikasema kuwa kwa sasa hatuna weledi kabisa ni uchawa mpaka idara nyeti inaaibika.

Leo kanipigia simu kisha akawa ameweka loud speaker kujifanya anataka tuongelee ile issue tena. Sasa mtu kama hana akili hana akili tu. Ananiuliza.

Mkuu unakumbuka yale mazungumzo tuliongea juzi?

Nikamuuliza yapi?

Anasema si yale ya kuwa idara yetu imekosa weledi kwa sasa.

Nikamshangaa sana kuwa amechanganya namba au amekunywa leo kama kawaida yake akilewa anaropoka ropoka?

Akajishtukia.wakati huo mi nasikiliza mazingira yake. Mwishoni nikamwambia aache ubwabwa wake akafanye kazi mi sipendi mazoea ya kipumbavu kazini. Nikamporomoshea matusi kinyama. Akakata simu.

Muda huu nimeonana na jamaa yangu akaniambia muda ule unaongea kwenye simu umechana mkeka wa mtu kuna mtu alikuwa anapiga bingo kupitia kwangu apande na cheo. Nimemchania mkeka vibaya na ameonekana mnafiki na mchonganishi.

Sisi wahuni lakini tuna akili.
 
October tunatikii ✅

Haaahaa 😂 😁 😄 😂 una BAHATI NZURIII SANAA SANAAAAAA
 
Safi sana , mkaushie kabisa. Watu wenye roho mbaya kama huyo sio wa kujadiliana nao.
 
Pole sana, bila shaka mtu huyo atakuwa wa Katavi, Mhehe wa Iringa au muha wa kibondo na labda mtu wa Mara🙌
 
Utajuaje kama mtu amekuweka loud speaker!?
 
Back
Top Bottom