mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,930
Kweli mkuu muumba naye ana njia nyingi za kupunguza mapambanooo ya majinuniAnga limetulia, ardhi imesafishwa.. Tunguli nyingi za wanga na vitendea kazi vimechukuliwa na mafuriko
Kweli mkuu muumba naye ana njia nyingi za kupunguza mapambanooo ya majinuniAnga limetulia, ardhi imesafishwa.. Tunguli nyingi za wanga na vitendea kazi vimechukuliwa na mafuriko
Labdaa ID mlango wa 8 mkuuHii mada imekwamia kwako[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hebu naomba tag tafadhaliKuna Uzi nimeutoa juzi kati, mmmh aliyeanza ni majonzi jamaa ana elements za kichawi, alichokomenti hadi wamefka 20 wanarudia kile kile najiuliza kwani wote hawakuwa na akili ya kupambanua mambo ila nimekuelewa ntakuwa Nawatag kabisa wasianze Ku komenti
Nitaenda wapi mkuuUpooo!?
Wala usingeniweza ningekutesa bure nikuache na maumivuNilikukosa padogo sana... Chamdeko aka overtake[emoji13] [emoji13]
Eeeh mkuu, we acha tu naona moderators washauchoma moto....yaan jf kuna manukato ya hujuma....nilifundishwa kutolalamika na kulaumu[emoji1] [emoji1] [emoji1] hebu naomba tag tafadhali
Mkuu upo?Ahahaas
TelepathyUpooo!?
Eti ZimbabweNitaenda wapi mkuu
Mikwara [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wala usingeniweza ningekutesa bure nikuache na maumivu