Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,047
- 74,767
Hii mada pamoja kuwa ni ya kisiasa lakini inahitaji msaada mkubwa wa jibu la kiufafanuzi toka kwa watu mahiri kama Mshana Jr na wengine.
Kwa kawaida wako binadamu wanaitwa MLANGO WA NANE, ambao wanaaminika ukimuoa au akikuoa hata uwe na mipango, mikakati au juhudi za aina gani huwezi/hamuwezi kufanikiwa maana ni mikosi tuu mmoja baada ya mwingine.
Nimeangalia juhudi na majigambo ya Awamu ya Tano na kuona jinsi kila wanalojitapa nalo wanaishia kushindwa na kutafuta mchawi Kwa kutumia nguvu ya dola.
Mipango mingi iliyoonyeshwa kufanywa hata mbele ya kamera imeishia kuwa aibu tuu, jee awamu hii ni mlango wa NANE?
Kawaida ili ufanikiwe ni kumuacha mke/mume ambaye ni mlango wa nane kama wataka kujitoa kwenye laana, jee awamu ya Tano kama ni mlango wa nane tuachane nayo 2020 tuu bila kukubali kuendelea na mateso?
Tutoe maoni tuu sio jazba za kivyama.
Sent using Jamii Forums mobile app