Kuna ID mlango wa nane, mapooza

Kuna ID mlango wa nane, mapooza

Shunie umeona rafiki yetu Tantaw kala BAN nimeumia sana! nitakosa comments zake kuleee halafu mbaya zaidi sijui ni BAN ni muda gani?🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Hata nimeangalia kwa makini sio yeye aliyeanza ku reply kwenye huu uzi wa mshana jr hahahahahahahaah
Mmh uzi gani huo ulompa mtu kifungo
 
Umenikumbusha nilishawahi kuuliza Jamaa yangu Fulani wa kabila fulani kwanini wanaoa wanawake wengi
akaniambia kila mwanamke na mtoto wanakuja na bahati yake
Mmh
 
Hivi mshana kaka angu unaishi wapi Mi ninahitaji unifundishe ule uchawi wako nimejikuta napenda kusoma sana kuhusu Yoga, meditation nk
 
Binafsi ni mada husika na muwasilishaji ndio vinavyonivuta kuchangia au kupuuzia, na kamwe si wachangiaji. Kuna mada huwa napuuzia hata kusoma na zingine nasoma ila naepuka kuchangia, kutokana na mtazamo wangu kwa muwasilishaji. An interesting and well presented topic = broad conversation, that's the main name of the game.
 
Haya mkuuuu nadhani ibada ilikuwa mujarab leo naona wateja wa mida hii bado wapo kwenye masinagogi
Anga limetulia, ardhi imesafishwa.. Tunguli nyingi za wanga na vitendea kazi vimechukuliwa na mafuriko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom