Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 10,940 Reaction score 34,760 Aug 7, 2025 #1 Pallywood Wanatunga stori kuwa gaza kuna njaa kumbe ni movie kama zile bongo muvi za jini kupiga chafya kutokana mapoda mengi aliopaka usoni. Njaa ya kweli ipo sudani lakini dunia imefungia macho kwa sababu israel haihusiki hapo👇🏻👇🏻👇🏻
Pallywood Wanatunga stori kuwa gaza kuna njaa kumbe ni movie kama zile bongo muvi za jini kupiga chafya kutokana mapoda mengi aliopaka usoni. Njaa ya kweli ipo sudani lakini dunia imefungia macho kwa sababu israel haihusiki hapo👇🏻👇🏻👇🏻
TheGreatest Of AllTime JF-Expert Member Joined Mar 14, 2025 Posts 200 Reaction score 652 Aug 7, 2025 #2 🤣🤣