Andres
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 501
- 791
Kwanza nianze kwa kuwapongeza sana madaktari wa kina mama, wamekuwa msaada mkubwa sana kwa wanawake zetu. Kazi yao ni kubwa na tunaithamini.
Pamoja na yote kumekuwa na shuhuda za uwepo wa baadhi yao ambao sio waaminifu, wanaotumia nafasi yao ya utabibu kama fursa ya kuwaingilia wanawake wale wanaowahusudu pale wanapokuja kupata matibabu.
Kwa kutumia mbinu zao za kitabibu ikiwemo nusu kaputi nk. Kama wengi tujuavyo wanawake wengi huwa ni watu wa soni, hata inapotokea akaamka akagundua hilo hukaa kimya hata kama kidume ulikuwa nje unamsubiri mkeo.
Je, kuna haja ya kuanza kuhudhuria hizi session pamoja na wake zetu? Twende ngadu kwa ngadu yaani..Maana unaweza shangaa mnapata magonjwa ukamlaumu wife kachepuka kumbe na yeye ni mhanga