MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,695
- 31,478
Ndugu wana JF
Kwa masikitiko makubwa sana ninawasilisha hii hoja yangu baada ya kuangalia Straight Talk Africa. Aina ya viongozi tulionao wanaacha maswali mengi ya kujiuliza kama kweli wanakidhi viwango vya viongozi katika dunia hii ya utandawazi.
Maandalizi yafanywe kwenye maeneo gani?
1. Uwezo wa kuwasilisha mada;
2. Uwezo wa kujua nafasi yake na athari ya maneno atakayoyatoa;
3. Uwezo wa kuhimili maswali magumu na kuyatolea majibu fasaha;na
4. Uwezo wa kufanya facial expression (gestures) sahihi kulingana na mada husika.
Ndugu zangu, tunahitaji elimu ya uongozi itolewe kuanzia shule za vidudu.
Naomba kuwasilisha.