Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,209
- 185,073
Dunia inakoelekea anajua mungu tu!!
Dunia inakoelekea anajua mungu tu!!
Kwamba mtu anakula na maganda???? Nsozinakuwaje hizo???
Za home huwa unapika nyingi zinakukinai, hasahasa kwakuwa unapika mwenyewe na kuonjaonja!Ni kweli kabisa, Kuna mahali nilishakula mara mbili chips ambazo hazijamenywa ni tamu sana.
Nikajaribu home kutokumenya.
Sijui kwanini chips za home huwa sio tamu 😔