Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,378
- 12,573
Kwani kuna mtu kafa ?😃😃Mlikutana kila mtu meno 32,hamkujuana mmejuana ukubwani.Kisa nn uue mtoto wa watu aliyezaliwa na mama asiye wako.Kutesa tu matumbo ya wazazi.Ivi mnaujua uchungu wa kufiwa na mtoto mkuu,mwache aende bhana