Kuna haja sasa ya serikali kuingilia kati mapenzi

Mlikutana kila mtu meno 32,hamkujuana mmejuana ukubwani.Kisa nn uue mtoto wa watu aliyezaliwa na mama asiye wako.Kutesa tu matumbo ya wazazi.Ivi mnaujua uchungu wa kufiwa na mtoto mkuu,mwache aende bhana
Kwani kuna mtu kafa ?😃😃
 
Ila wanawake ndio wanaongoza kwa tamaa.
Kama unapenda life la kitajir tafuta za kwako sio kutegemea za mwanaume uzitumie vibaya bila malengo

Binafsi niko makini sana sita tia mimba mtoto wa watu onyo ovyo, nikiwa kwenye mahusiano manzi akianza mapicha picha pita hivi, sitaki usumbufu.
Utadakwa tu,kuna tobo kavu hadi ndomu inaburst labda ukatae mimba tu mkuu
 
Kutokana na wimbi la wanandoa kujinyonga,kujiua,kuuwa,kujeruhi wenza wao!
Ni dhahiri sasa serikali iingilie kati na kuweka sheria kabla ya ndoa ni lazima wapenzi wapimwe akili na uwezo wao wa kusuhulisha mambo!na ukionekana dishi limeyumba hutaruhusiwa kuishi na mweza yeyote na endapo utapatikana na kosa hilo sheria utafuata mkondo wake yaani ukae ndani at least miaka mitano!
Maana tumejikuta tuna lundo la wanandoa vichaa kila kukicha na kuleta taharuki za mara kwa mara kwenye jamii!
Kazi iendelee!
Umechanganya hoja. Ungesema kuwa huduma za afya ya ubongo (mental health) na ushauri nasaha ziimarishwe na zipatikane kwa wingi tena bure ningekuunga mkono. Hayo ya sijui serikali sijui nini ni utopolo tu!
 
Tena iundwe haraka sana.Kuna kajamaa nilikua nakaheshimu ila toka nilipokashuhudia kamempiga mkewe na limfagio mpaka likavunjika ndio nikajua nilikua nakapa heshima ya bure ' kamwehu'.
 
Unajisikia vipi kusikia mume ama mke kamuua mwezi wake!?,ni lazima mmoja wapo atakuwa na matatizo ya akili ni lazima serikali waweke mikakati tuache siasa za kusema ni taasisi
hayo ni mambo binafsi ya wanandoa. mm na unumbe mmoja kwako HAYAKUHUSU
 
Back
Top Bottom