Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Kutokana na wimbi la wanandoa kujinyonga,kujiua,kuuwa,kujeruhi wenza wao!
Ni dhahiri sasa serikali iingilie kati na kuweka sheria kabla ya ndoa ni lazima wapenzi wapimwe akili na uwezo wao wa kusuhulisha mambo! Na ukionekana dishi limeyumba hutaruhusiwa kuishi na mweza yeyote na endapo utapatikana na kosa hilo sheria utafuata mkondo wake yaani ukae ndani at least miaka mitano!
Maana tumejikuta tuna lundo la wanandoa vichaa kila kukicha na kuleta taharuki za mara kwa mara kwenye jamii!
Kazi iendelee!