nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,620
Ndani ya wiki hii chuo kikuu cha Dar es saalam (UDSM) kitaazimisha miaka 55 toka kianze chuo hiki kimetoa wataalam wengi sana kwa taifa hili.
Naomba hii siku ya sherehe ibadilishwe iwe siku ya kupaza sauti ili watoto wa wakulima wapate pesa za kusomea kutoka bodi ya mkopo elimu ya juu siku hiyo iwe siku ya kuwatetea watoto wa walipa kodi ili serikali isikie kilio chao.