Kuna haja gani ya kusherekea miaka 55 ya kuanzishwa kwa UDSM huku watoto wa wakulima wanalia mikopo?

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,620
Ndani ya wiki hii chuo kikuu cha Dar es saalam (UDSM) kitaazimisha miaka 55 toka kianze chuo hiki kimetoa wataalam wengi sana kwa taifa hili.

Naomba hii siku ya sherehe ibadilishwe iwe siku ya kupaza sauti ili watoto wa wakulima wapate pesa za kusomea kutoka bodi ya mkopo elimu ya juu siku hiyo iwe siku ya kuwatetea watoto wa walipa kodi ili serikali isikie kilio chao.
e25fca75cefafc99754c0961d870261d.jpg
 
Ndani ya wiki hii chuo kikuu cha dar es saalam (udsm) kitaazimisha miaka 55 toka kianza chuo hiki kimetoa wataalam wengi sana kwa taifa hili naomba hiki siku ya sherehe ibadilishwe iwe siku ya kupaza sauti kwenye hii ili watoto wa wakulima wapate pesa za kusomea kutoka bodi ya mkopo elimu ya juu siku hiyo iwe siku ya kuwatetea watoto wa walipa kodi ili serikali isikie kilio chao.
6bf22b8b8d28925e49170f2869d77a88.jpg

Labda Malisa na wenzake wajiulize kwani familia zao zina miaka mingapi? Familia imesomeshewa baba, mama na watoto, leo familia hiyo hiyo inataka isomeshewe mjukuu. Mnapohesabu miaka 55 ya UDSM pia hesabu miaka hiyo hiyo ywa watu waliosomeshwa bure ambao hawana tija na taifa hili. Wabinafsi, kazi yao kunywa pombe, kustarehe, kutoa michango ya harusi huku wakijidai wao ni masikini linapokuja suala la kuwalipia ada watoto na wajukuu wao. Foleni za magari nchini kwa wingi wa magari na majumba makubwa makubwa ya kifahari hayashabihi hata kidogo umasikini ambao watanzania wanadai wanao. Anasa wazifanyazo inashabihi choyo na inda waliyonayo watanzania. Kutwa kuccha bize kwenye ma bar wakishughulikia vikao vya harusi. Katika Tanzania ndiko nchi ambayo sherehe ya harusi inajengewa ma ukumbi maalum makubwa ya gharama. Are we crazy? Maukumbi makubwa full AC ni mengi kuliko zahanati. Ni familia zetu za kitanzania zipo tayari kukodi ukumbi kwa milioni tatu ili mradi wakae ndani ya ukumbi huo kwa masaa yasiyozidi saba tu halafu hao waondoke. Familia hizyo hiyo yenye kutoa milioni tau kwa ajili ya masaa saba haiku tayari kumlipia mtoto wao ada ya milioni mija na ushehe kwa mwaka mzima lakini familia hiyo hiyo ikoo tayari kulipia mapambo ya milioni moja ambayo yanakuwa takataka baada ya masaa nane. Sisi wazima kweli? Mwanafunzi anayelalamika kunyimwa mkopo na hajiwezi mkononi ana smartfon ya milioni moja na ushehe, nani katuloga sisi jamani?

Asilimi kubwa ya wanafunzi waliochaguliwa elimu ya juu ni wale waliotoka katika shule za A level ambazo ada zake kwa mwaka ni milioni mbili na nusu na kuendelea. Leo akiingia elimu ya juu anajidai yeye ni masikini wa kutupa. Hakukosea aliyesema whao wanafunzi wanataka hela za smartphone, kunywea pombe na kufanyia matanuzi tu.

Miaka hamsini na tano ya UDSM haina uhusiano wowote na watoto wa watanzania wapuuzi kukosa mikopo, na kama upo uhusiano basi ni kuonesha hakuna haja ya kuendelea kugharamia elimu ya watu wetu kamahiyo elimu haitusaidii kujitegemea badala yake inatufanya tuwe tegemezi Zaidi.
 
Unajua lakini kilianzia wapi? kilichuka watu wangapi wakati huo? Unajua sasa hivi kiko wapi na kinadahili watu wangapi kwa kozi zipi. Watoto wa wakulima? waambia wasome na wachukue matokeo yasiyo na utata Enzi hizo wenzio tulikuwa tunakata mzizi wa fitna kwa kumaliza single digit ndio lengo. Walio soma tuition kwa Gift au Urasa siku hizi wote hawa ni Dr. walikuwa wanahubiri point 3 au ukikosa wewe wa mkulima ni 7. Sasa nyie mnao tafuta point double digits halafu mnatokea kwa wakulima ni sheedah.

Ukiwa mtoto wa mkulima kaza weka single digit watu wanaenda wenyewe kuokota katika nyavu, sasa hizi za kusubiri refa kaamkaje mnapoteza sifa za watoto wa wakulima.
 
logic yako nn
 
acha kuropoka
 
Hiyo Mwalisa amemuita nani "kazee" kweli hana adabu. Lazima na yeye ni wale wale waliokuwa wamezoea pesa ya bure bila kutoa jasho.
 
Dah hii lazima wataibishia

Ila ukweli umenena.
 
Je kunahusiano kati ya uwezo wa kifedha wa Ndalichako na mtoto wake kupewa mkopo?
 
Acha washeherekee ndio chuo kilichozalisha mafisadi Tanzania.Wanafunzi wake baadhi wamemaliza PhD hawajui communication skills.
 
Katika mwaka huo mmelifanyia nini taifa lenu na jamii inaowazunguka au ni kuwa busy kuwavunja watu mioyo bila ya kushauri kipi kifanyike.. Mngekuwa na maarifa Mngekuwa viongozi katika nyanja yoyote ile na kuleta msukumo wa maendeleo.
 
Nakupa fact za wakati wetu na jinsi tulivyokuwa tunakabiliana na changamoto. Nyie mnalia lia kila kukicha, ukijijua wewe ni wa mkulima ingia chaka toka na single digit.
Unadhani hizo "single digit" kuzipata kwa st kayumba ni rahisi? Thamani ya div3 ya NG'ONG'ONA SEC ni sawa na div1 ya FEZA ndugu!!
 
Labda Malisa na wenzake wajiulize kwani familia zao zina miaka mingapi? Familia imesomeshewa baba, mama na watoto, leo familia hiyo hiyo inataka isomeshewe mjukuu. Mnapohesabu miaka 55 ya UDSM pia hesabu miaka hiyo hiyo ywa watu waliosomeshwa bure ambao hawana tija na taifa hili. Wabinafsi, kazi yao kunywa pombe, kustarehe, kutoa michango ya harusi huku wakijidai wao ni masikini linapokuja suala la kuwalipia ada watoto na wajukuu wao. Foleni za magari nchini kwa wingi wa magari na majumba makubwa makubwa ya kifahari hayashabihi hata kidogo umasikini ambao watanzania wanadai wanao. Anasa wazifanyazo inashabihi choyo na inda waliyonayo watanzania. Kutwa kuccha bize kwenye ma bar wakishughulikia vikao vya harusi. Katika Tanzania ndiko nchi ambayo sherehe ya harusi inajengewa ma ukumbi maalum makubwa ya gharama. Are we crazy? Maukumbi makubwa full AC ni mengi kuliko zahanati. Ni familia zetu za kitanzania zipo tayari kukodi ukumbi kwa milioni tatu ili mradi wakae ndani ya ukumbi huo kwa masaa yasiyozidi saba tu halafu hao waondoke. Familia hizyo hiyo yenye kutoa milioni tau kwa ajili ya masaa saba haiku tayari kumlipia mtoto wao ada ya milioni mija na ushehe kwa mwaka mzima lakini familia hiyo hiyo ikoo tayari kulipia mapambo ya milioni moja ambayo yanakuwa takataka baada ya masaa nane. Sisi wazima kweli? Mwanafunzi anayelalamika kunyimwa mkopo na hajiwezi mkononi ana smartfon ya milioni moja na ushehe, nani katuloga sisi jamani?

Asilimi kubwa ya wanafunzi waliochaguliwa elimu ya juu ni wale waliotoka katika shule za A level ambazo ada zake kwa mwaka ni milioni mbili na nusu na kuendelea. Leo akiingia elimu ya juu anajidai yeye ni masikini wa kutupa. Hakukosea aliyesema whao wanafunzi wanataka hela za smartphone, kunywea pombe na kufanyia matanuzi tu.

Miaka hamsini na tano ya UDSM haina uhusiano wowote na watoto wa watanzania wapuuzi kukosa mikopo, na kama upo uhusiano basi ni kuonesha hakuna haja ya kuendelea kugharamia elimu ya watu wetu kamahiyo elimu haitusaidii kujitegemea badala yake inatufanya tuwe tegemezi Zaidi.
Ila kumbuka wengi wa waliofaulu mwaka huu wametoka shule za serikali(shule za makabwela) sasa ni haki hawa wengi kuwanyima mikopo?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom