Kuna haja gani ya kusherekea miaka 55 ya kuanzishwa kwa UDSM huku watoto wa wakulima wanalia mikopo?

Ndani ya wiki hii chuo kikuu cha dar es saalam (udsm) kitaazimisha miaka 55 toka kianza chuo hiki kimetoa wataalam wengi sana kwa taifa hili naomba hiki siku ya sherehe ibadilishwe iwe siku ya kupaza sauti kwenye hii ili watoto wa wakulima wapate pesa za kusomea kutoka bodi ya mkopo elimu ya juu siku hiyo iwe siku ya kuwatetea watoto wa walipa kodi ili serikali isikie kilio chao.
e25fca75cefafc99754c0961d870261d.jpg
Kwanini Chuo kisisherekee miaka 55? kama mpaka muda huu ujui tofauti ya UDSM na HESLB kwanini unataka kwenda Chuo sasa!!!!!!!! ulitakiwa ukisikia HESLB wanafanya sherehe kama hiyo ndio upeleke kelele hizi maana ndio sehemu sahihi kabisa, jitaidi kufikilia kabla ya kuandika uta disco mapema ukifika Chuo.
 
"Yaani mimi ktk Serikali yangu Mwanafunzi anapangiwa chuo ana sifa zote halafu una mnyima MKOPO?"

Watu wanakumbuka KAULI HIZI"
Eti anazo sifa za kusoma ila hana sifa za kupata mkopo wa serikali. Sasa hapa si wanatubagua na kujenga matabaka
 
Mimi nimesomea kijijini na naishi kijijini. Ni mtu niliyejitoa muhanga na kusimama kidete kuanzishwa kwa bodi kipindi hicho hata watu wengine hamfahamukuwa bodi inaweza kuanzishwa ili kuondokana na 'government sponsored student. Nimekuwa mwanafuzni na naufahamu fika mfumo wa 'means testing'Unless huyo mwanafunzi yatima hakusema ukweli kujihusu yeye au hakutuma vilelezo vinavyotakiwa. Kama yupo yatima ana nafasi ya rufaa. Bodi ya mikopo ipo kwa ajili ya kuwapa wahitaji na sio kutoa zawadi ya hela ya kunywea pombe. Tuliofaidika na mfumo holela wa kupewa 'boom' tunajua tulizitumiaje na tunaopenda angalau kusema ukweli kidogo tutasema.

Chakaza mbona mayatima na watoto wa makabwela wanafanya harusi za kifahari na mapesa mengi tukila kukicha bila kuwa na bodi ya mikopo ya harusi sio mjini sio vijijini hali ni moja? Ndio, mimi kweli domokaya, maneno silipii kodi

Mkuu nakuelewa sana usemayo. Lakini pamoja na kuwa wapo wapatao mikopo hiyo huku wakiwa na uhitaji mdogo au hakuna kabisa lakini ukweli bado wapo wengi sana ambao bila ya mkopo hawataweza kusoma kabisa. Na lengo letu kama nchi ni kuhakikisha watoto wa aina hiyo tunawasaidia ili vipaji hivyo visipotee bure. Kumbuka kijana mwenye akili sana darasani akikosa mwelekeo na akajiunga na uhalifu na akili ile aliyo nayo akaitumia huko atakuwa hatari sana kwenye jamii.
Hizo harusi na masherehe hata mie yananiuzi sana. Jamii yetu imejikita katika kuweza kuchangiana harusi ya kijana kwa mamilioni lakini sema unatembeza mchango wa kijana aende shule kama utapata hata laki. Hii ni jinsi tulivyoijenga jamii sisi wenyewe. Kule Kenya vijijini mpaka mjini zipo harambee za kuchangia elimu ya mtoto na ukiita wenzako na kueleza kusudio hilo lazima utapata wa kukusaidia. Nadhani tuishauri nasi jamii ifahamu kuwa tunaweza kufanya hivyona tatizo kama hili la kulilia mikopo likaisha.
 
Labda Malisa na wenzake wajiulize kwani familia zao zina miaka mingapi? Familia imesomeshewa baba, mama na watoto, leo familia hiyo hiyo inataka isomeshewe mjukuu. Mnapohesabu miaka 55 ya UDSM pia hesabu miaka hiyo hiyo ywa watu waliosomeshwa bure ambao hawana tija na taifa hili. Wabinafsi, kazi yao kunywa pombe, kustarehe, kutoa michango ya harusi huku wakijidai wao ni masikini linapokuja suala la kuwalipia ada watoto na wajukuu wao. Foleni za magari nchini kwa wingi wa magari na majumba makubwa makubwa ya kifahari hayashabihi hata kidogo umasikini ambao watanzania wanadai wanao. Anasa wazifanyazo inashabihi choyo na inda waliyonayo watanzania. Kutwa kuccha bize kwenye ma bar wakishughulikia vikao vya harusi. Katika Tanzania ndiko nchi ambayo sherehe ya harusi inajengewa ma ukumbi maalum makubwa ya gharama. Are we crazy? Maukumbi makubwa full AC ni mengi kuliko zahanati. Ni familia zetu za kitanzania zipo tayari kukodi ukumbi kwa milioni tatu ili mradi wakae ndani ya ukumbi huo kwa masaa yasiyozidi saba tu halafu hao waondoke. Familia hizyo hiyo yenye kutoa milioni tau kwa ajili ya masaa saba haiku tayari kumlipia mtoto wao ada ya milioni mija na ushehe kwa mwaka mzima lakini familia hiyo hiyo ikoo tayari kulipia mapambo ya milioni moja ambayo yanakuwa takataka baada ya masaa nane. Sisi wazima kweli? Mwanafunzi anayelalamika kunyimwa mkopo na hajiwezi mkononi ana smartfon ya milioni moja na ushehe, nani katuloga sisi jamani?

Asilimi kubwa ya wanafunzi waliochaguliwa elimu ya juu ni wale waliotoka katika shule za A level ambazo ada zake kwa mwaka ni milioni mbili na nusu na kuendelea. Leo akiingia elimu ya juu anajidai yeye ni masikini wa kutupa. Hakukosea aliyesema whao wanafunzi wanataka hela za smartphone, kunywea pombe na kufanyia matanuzi tu.

Miaka hamsini na tano ya UDSM haina uhusiano wowote na watoto wa watanzania wapuuzi kukosa mikopo, na kama upo uhusiano basi ni kuonesha hakuna haja ya kuendelea kugharamia elimu ya watu wetu kamahiyo elimu haitusaidii kujitegemea badala yake inatufanya tuwe tegemezi Zaidi.
 
mwenyekiti wako hakuliona hilo alipokuwa anapayuka tabora!
au wewe umemzidi elimu mkulu wa chemia.....
shame
 
mkuu lakini kumbuka kuna Watanzania wengi sana wanaishi vijijin wanakaa nyumba za udongo hao unaowazungumzia wewe ni asilimia ndogo sana tena wa mjini
 
Back
Top Bottom