Kuna familia zina laana ya asili

Kweli Mkuu ni laana zilizotukuka. Kukumbatia mila na desturi za zamani wengi wetu zimeingizia familia zetu mzigo mkubwa. Sometimes you wonder! Why only me and my family kha! Asante kutukumbusha. Lakini na maombi nayo hayajibiki sometimes. Ni mawazo yangu na utafiti wangu. Wapendwa wa Mungu tusaidiane ktk hili!
wakati mwingi waafrika huomba kisicho kuwepo maana hata hawakijui vzr

lakini hapo kale na si kale sana walikuwepo miUngu wa kiafrika ambao leo ni mizimu na mishetani kwa sababu ya imani zilizokuja

Nakili wazi imani hiyo iliyokuja miaka 100 tu iliyopita kuingia Afrika hapa hususani Tanzania hatuijui vyema imani hiyo.
 
Hii ishu imemkuta mzazi wangu pamoja na baba ake, Babu alikuwa na kazi flani lakini mpaka anastafu alikuwa hana hata nyumba ya kuishi zaidi alipanga na mwisho wa siku watoto wake wakamnunulia nyumba,

Sasa mzazi wangu Sasa pamoja na kuwa na ela , lakini izo ela hatujawahi zifurahia wala kuzitumia effectively, zaidi zimetawanywa kwa wanawake mbalimbali, na hakuna kitu chochote cha kuingiza ela alichotengeneza, in short full umaskini.

Kuna hizi ndoto huwa sizipendi za kuota nipo shule , pili Kama Leo nimeota nafanya mtihani na maswali ya machagulio Tena mtihani wa English, wakati hizi hatua nilishazipita mda Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hizi ndoto huwa sizipendi za kuota nipo shule , pili Kama Leo nimeota nafanya mtihani na maswali ya machagulio Tena mtihani wa English,
wakati hizi hatua nilishazipita mda Sana.

Kuna mambo yanakuhitaji uyasimamie hasa yako binafsi na hayo ya kifamilia..tulia penye ukimya ukiwa huna uchovu tafakari kwa makini utaona ni yapi yamakupasa kufanya

Sasa mzazi wangu Sasa pamoja na kuwa na ela , lakini izo ela hatujawahi zifurahia wala kuzitumia effectively, zaidi zimetawanywa kwa wanawake mbalimbali, na hakuna kitu chochote cha kuingiza ela alichotengeneza, in short full umaskini

. pepo la ngono lililomuingia ndio kiama chake...mkiweza kumtoa hapo na pesa mtaiona...!!! Una jukumu kubwa la kufanya hiyo kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hizi ndoto huwa sizipendi za kuota nipo shule , pili Kama Leo nimeota nafanya mtihani na maswali ya machagulio Tena mtihani wa English,
wakati hizi hatua nilishazipita mda Sana.

Kuna mambo yanakuhitaji uyasimamie hasa yako binafsi na hayo ya kifamilia..tulia penye ukimya ukiwa huna uchovu tafakari kwa makini utaona ni yapi yamakupasa kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr.. hizo ndoto za kuota upo shule au chuo wakati ushaachana na masomo kitambooo, huwaa zina maana gani? Kiukweli huwaa zinaniboa mnoo kila wiki lzm niote hata mara 3-5
 
Baba yake na babu yangu alikuwa na ng`ombe ambaye Ukoo wao ulitaka kumtumia kwa KAFARA/TAMBIKO lao kwa kuwa ndo pekee alikidhi vigezo vyao. Huyu mzee alimkimbiza huyu ng`ombe kijiji cha mbali maana inasemekana kumtoa ingekuwa kuipa nukzi kizazi chake.. Bahati mbaya yule aliyepelekewa ng`ombe naye hakuwa mwaminifu, alitoa taarifa na yule ng`ombe alichukuliwa na kurudishwa kwa nguvu na akachinjwa na TAMBIKO likafanyika... Wale wana UKOO kwa hasira walimlaani yeye na KIZAZI chake ambao ndo siye sasa..

Kiukweli ile laana inafanya kazi maana yeye mwenyewe alikufa kifo cha UTATA, mwanae ambaye ni babu yangu mwaka 1994 alifia jela kwa kesi ya kusingiziwa..
Huyu BABU yangu mimi sasa watoto wake ambao ni mashangazi zangu waliokuwa wa 8 , wote hakuna aliyewahi kuolewa,, na wameshakufa wa 5 na hao walio hai wa 3 haijulikani wanakoishi japo inasemekana wanaonekana kwenye MIALO ya Ziwa VICTORIA.... mara maeneo ya KENYA....
Watoto wa 2 wakiume, ambapo mmoja ni mzee wangu ambaye kapigika kinyama japo miaka kidogo ya nyuma alikuwa na hela kidogo, hela zimemyeyuka baada ya mama yangu mzazi kufa na yeye kuoa MKE mwingine ambaye inasemekana ni MTU MWENYE TEKCNOLOJIA YA USIKU... Baba yetu mdogo alikuwa mwizi wa ng`0mbe aliuwawa na wanakijiji kwa kuwekewa mtego...

Nikiangalia maisha yangu NA WADOGO ZANGU ndo nakubali kweli kuna laana ya ukoo maana MUNGU PEKEE ndo anayejua....
 
Nikiangalia maisha yangu NA WADOGO ZANGU ndo nakubali kweli kuna laana ya ukoo maana MUNGU PEKEE ndo anayejua....Mungu wangu pole sana
 
Sasa umechukua hatua gani?
 
Back
Top Bottom